CCM inachezea shilingi juu ya shimo la choo

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Mwaka wa uchaguzi. Haupaswi kuwa mwaka wa uchafuzi. CCM inaunda Serikali. Serikali ni ya CCM. Mwaka huu ni wa kubembeleza;mwaka wa kudekeza. Si wa kukwazakwaza watanzania. Wananchi wanapaswa watupende. Wasituponde.

Mwaka ule Mwenyekiti alikataa kura za wafanyakazi. Mwaka huu hatutaki kura za madereva na wafanyabiashara,familia zao na wanaowaunga mkono? Tupo tayari kwa hilo?

Kuna mkwamo gani kutatua utata wa madereva na wafanyabiashara? Kuna dalili ya shilingi ya hatamu kuzama shimo la choo hapo Oktoba!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Mzee Tupatupa,mnakumbuka shuka kumekucha?Yaani leo asingekuwa huyu MUME mwenye wivu kupita kiasi ningelala nyumbani.Lakini shida ndiyo imenifanya niikubali,yaani JK Nyerere alisema ukweli RAIS DHAIFU+CHAMA DHAIFU+SERIKALI DHAIFU=MIGOGORO ISIYOISHA.

Hivi kunaulazima wa hawa MADEREVA kulipia Tzs.560K?Hivi kwanini hata kama hiyo elimu inatakiwa kisiwekwe kiwango kinachowezekana?

Hebu tujiulize huyu dereva wa daladala kwanza hana ajira,atakuwa na uwezo wa kuwekeza pesa mpaka zifike Tzs560K?

Inatia hasira sana.Kwanza serikali ilitakiwa kufanya haya:

1.Kuondoa mianya yote ya Rushwa wakati wa kupata leseni.

2.Kuhakisha Udereva hasa wale wanaotaka kuendesha mabasi ya abiria wawe atleast na elimu ya sekondari,ili kuifanya kada hii iwe inaheshimika maana inabeba uhai wa watanzania

3.Kuongeza miaka ya dereva anayetaka kuendesha magari ya abiria kufikia miaka 30 na kuendelea.

4.Kuhakikisha kuna vyuo bora vya kufundishia madereva hawa..

5.Kuhakikisha ajira za madereva zinaeleweka na kuwa na mikataba yenye akili.

Vinginevyo tutakuwa tunashuhudia migomo na ajali za kutisha kila siku.

Maskini nchi yangu.................
 
Mkuu waswahili walishasema LA KUVUNDA HALINA UBANI na hata hivyo walishasema wamechoka na hawana njia ingine kama vipi tupigwe tu.
 
Ngoja maitarahamwe yafanye yao kutulegezea njia.

Swissme
 
Hatuhongeki mwaka huu tumepanda dau walimu mumeshindwa kuwaajili mpaka muda huu subirini kiama.
 
Mzee Tupatupa,mnakumbuka shuka kumekucha?Yaani leo asingekuwa huyu MUME mwenye wivu kupita kiasi ningelala nyumbani.Lakini shida ndiyo imenifanya niikubali,yaani JK Nyerere alisema ukweli RAIS DHAIFU+CHAMA DHAIFU+SERIKALI DHAIFU=MIGOGORO ISIYOISHA.

Hivi kunaulazima wa hawa MADEREVA kulipia Tzs.560K?Hivi kwanini hata kama hiyo elimu inatakiwa kisiwekwe kiwango kinachowezekana?

Hebu tujiulize huyu dereva wa daladala kwanza hana ajira,atakuwa na uwezo wa kuwekeza pesa mpaka zifike Tzs560K?

Inatia hasira sana.Kwanza serikali ilitakiwa kufanya haya:

1.Kuondoa mianya yote ya Rushwa wakati wa kupata leseni.

2.Kuhakisha Udereva hasa wale wanaotaka kuendesha mabasi ya abiria wawe atleast na elimu ya sekondari,ili kuifanya kada hii iwe inaheshimika maana inabeba uhai wa watanzania

3.Kuongeza miaka ya dereva anayetaka kuendesha magari ya abiria kufikia miaka 30 na kuendelea.

4.Kuhakikisha kuna vyuo bora vya kufundishia madereva hawa..

5.Kuhakikisha ajira za madereva zinaeleweka na kuwa na mikataba yenye akili.

Vinginevyo tutakuwa tunashuhudia migomo na ajali za kutisha kila siku.

Maskini nchi yangu.................

Maneno yako yanafanana kuwa ni mazuri.
Ubaya wa maneno haya ni kuwa ni porojo tupu zisizo na utatuzi wa kisayansi.

ANGALIA HAPA UONE

Dereva wa Buss at least educated --------- Dereva wa lorry (semitrailer) less educated, wanaenda kutumia barabara moja inayohitaji mtumiaji kuwa at least educated.

Inatokea wakati dereva wa lorry anaendesha kwa uzembe (kutokana na kutokuelimika itakiwavyo) na kulifuata bus akiwa 140kph speed, je huyo dereva wenu wa bus atatumia mafunzo aliyoyapata kulipaisha mithili ya ndege hilo bus ili kuepusha ajali?!?!

TUNAHITAJI BARABARA ZINAZOKIDHI MATAKWA YA WINGI WA MAGARI ULIOPO NA KUENDELEA.

Ziko wapi speed governor zilizoamriwa kwa mbwembwe kana kwamba ajali zingepungua kama sio kwisha.
 
Inawezekana nimesample out ni dereva wa aina gani tunamuhitaji hasa kwa upande wa mabasi ya abiria.Waweza kuongeza pia kwamba hata hawa wa malori pia waingie kwenye mkumbo mmoja na sababu kubwa ikiwa ni kusafiri nje ya nchi.

Tukiongelea elimu nadhani hata waajiri watapenda kuwa na professional drivers kuliko kuajiri just a driver.Kumbuka kukiwa na professional drivers ni rahisi sana kudai mishahara mikubwa kulingana na nafasi zao.

Kun nchi ambazo dereva analipwa na nchi nyingine madereva wanadegree zao ,kwanini na sisi tusi-adopt mazuri?

Hivi ni lazima dereva awe darasa la saba au hajaenda shule?Hivi hauoni kuwa kwa kuongeza kiwango cha elimu hata vijana wasiotaka kwenda shule watastuka na kuona kama walitegemea udereva,umepaa bila shule hata weza.

Leo VETA wameongeza kiwango chao cha kuingia kwenye vyuo vya,inamaana kuna siku hawa vijana wataambiwa bila cheti cha form four hakuna kupata leseni,tujiulize tutakuwa tumewatayarisha?

Ni sisi wazazi kuwaelimisha vina wetu,siyo wakati wa kila aliyeshindwa akimbilie kwenye udereva!!!!!!!!!!!!!!!!!Nakumbuka hata UHASIBU ilikuwa hivyo lakini leo wamebadilika na watu wameelewa,hivyo hata kwenye udereva yawezekana pia.

Kuna dereva mmoja aliwahi kuniuliza hivi kwa nini wasiweke viwango vya elimu kwa madereva kama wafanyavyo kwenye taaluma nyingine?

SIkumuelewa mwanzo lakini akzidi kuniambia kwamba angefurahi kama siku moja angeambiwa kuna degree ya UDEREVA na anauhakika angejitahidi aipate ili tu na taaluma hii iwe recognised.

Hope utanielewa...........
 
Back
Top Bottom