CCM inacheza ngoma ya CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM inacheza ngoma ya CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MKWECHE, Jul 18, 2011.

 1. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nilihidhuria mkutanao wa Hadhara wa CDM hapa Iringa ambao ulikuwa mwezi May mwaka huu!
  Katika mkutano Ule Msemaji mmoja wa Chadema alisema CCM imekuwa ikicheza Ngoma ya Chadema!
  Nimetafakari sana Kauli ile sasa naanza Kuamini kwa Mbaali!
  1) Ufisadi hili jambo liliibuliwa na viongozi wa Chadema enzi zilee mwembechai wakiongozwa na Dr.Slaa leo ni Mtaji kwa CCM!(Kujivua Magamba)
  Hadi wanasema waliotajwatajwa hata bila Ushahidi ni Mafisadi na wataondoka!
  2) Maandamano-Yalionekana hayana Tija,Uvunjifu wa Amani na Kupotezea wananchi muda wa maendeleo,leo maandamano Mtaji mpya ya Mbeya tumeyaona na nasikia inafata Arusha baada ya Mbeya!

  Mie Mkweche Najiuliza Lile Genge Linalojinasibu linatumia Akili Kufikiri na Sio Tumbo kwanini halitumii hizo Akili zao kuja na Kitu Kipya ili kuepuka Fedheha ya"Kopi endi Pesti"
  Adhari ya Kuiga Mchezo wa Mwenzako ni yeye kujua zaidi mbinu za mchezo huo!
   
 2. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  :
  :
  Sasa jiulize nani anayekatika kiuno zaidi ili anogeshe na wasio tamani chama tena?
  Ukipata jibu nitakugongea "THANKS"
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 740
  Trophy Points: 280
  Watachoka tu.Wananchi walishakosa imani muda.
   
Loading...