Kanuni ya asili hii, mtoto wa nyoka ni nyoka. Mtoto akiandaliwa mapema, na kuanza kujifunza kwa vitendo na kukulia maisha ya kiuongozi, ama kwa hakika atakuja kuwa kiongozi mahiri sana siku za mbeleni.
Ushauri nautoa kwa wazazi walala hoi na watoto wao kwamba tuunde Hamas ya kitanzania (Kikundi cha wapinga ccm). Ili tuwaondoe kwenye mrija hawa wanaofaidi mpaka wanataka kuwarithisha mirija watoto wao
Ni halali yao, nchi imejaa watu wenye akili sawa na Lucas Mwashambwa, kwanini akina Mwigulu wasiwatumie kuwarithisha watoto wao madaraka? Watumia ujinga wa watu kuendelea kuwepo madarakani.