CCM ina wenyewe Mwita Mwikabe Waitara

Huko ni karibu na Kenya ndiyo maana kuna ujinga huu
 
Kuchamba kwingi , mwisho unaondoka na mavi. Waitara tayari kashika mavi ananuka wanamkimbia mchana bila kupepesa macho, wee mara chadema ukonga ubungo, ukaacha mara ccm ukaomba tena kazi hiyo hiyo umeshaharibuharibu kivule ukonga...sasa unataka ukawavuruge tarime ccm unaona kila sehemu ni wakutapeliwa kwa kujali ubinafsi na uoga wako wa maisha. Punguza anasa fanya shughuli nyingine
 
Zipo tetesi kwamba wiki ijayo anavuliwa uwaziri kwa tuhuma za ulevi .

Usaliti ni laana
 

Sio Waitara tu

Ni wote,wanatumiwa kama kondomu na kutupwa kwenye dust bin kama kawaida!

Watatumia Chauma kugombea!

These motherfvckers are degenerates aisee!
 
Ina maana Mwita alidhani kuwa Naibu Waziri basi na yeye ni mwenzao? Yule wa Simanjiro nae alikwishaelezwa hawana mpango nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lituye

Miandiko Kama hii Ni miandiko adimu sana, mwandiko huu umenyoka haukulala, umesimama wima. KONGOLE NDUGU.

Mambo haya yameanza zama hizo CCM haikuwapo siku ya Karume day kabla ya Nyerere day, WAKUBWA WAMENIELEWA.

Nadhani ukienda mbali zaidi utakundua kwamba sio CCM pekee waliowahi fanya jambo hilo, hata Mwenyezi Mungu kalifanya with exception, Naibii Mussa alley salaam alikua akibonga naye live, ilhali Issa Aleyh Salaam ni mwanaye wa pekee aliyetumwa na baba kwa Kondoo waliopotea, Ibrahim alley Salaam ndiye aliyepewa amri na mke kumuoa kijakazi.

Itoshe kusema ITENDEKE DUNIANI KAMA ILIVYO AMULIWA KBINGUNI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pauline Gekuli
James ole Milya
CCM ni walaghai sana. Nauliza watu wa Arumeru sasa hivi mnakunywa maji safi na barabara zote zina lami? Yale maigizo ya mkuu wenu wa wilaya yameishia wapi?
Hiyo Gekule namhurumia sana, ni mwanamke aliyekuwa amejijengea heshima kubwa sana sio Babati pekee bali nchi nzima. Kusimama kama mbunge wa kuchaguliwa mwanamke toka chama cha upinzani ni heshima mpaka kufa.
Kwa ujinga wake akanunulika na kuambiwa tutakurudisha, sasa 2020 wanamtema kwa dharau kubwa na heshima ndio imepotea
 
Apigwe
 
Gekuli akirudi kuwa mbunge Babati mjini Matteo Qaresi atakuwa rais....
 
Waitara yupi? Hapo sasa hata ninyi mmeamini kuwa Ukonga alishalikoroga na kamwe hatokubalika tena. Kingine wale wasaliti wote waliletw huko na ccm kwa kazi maalum. Kazi hiyo inaisha mwaka huu. Hutoamini maneno yangu lkn muda utasema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…