M mliberali JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 12,344 Reaction score 15,276 Jun 8, 2024 #2 Tutolee takataka zako kwenye jukwaa hata kuandika hujui
Xystus JF-Expert Member Joined Sep 16, 2017 Posts 292 Reaction score 332 Jun 8, 2024 #3 Hamna mtu anayetokea manyoni, akawa na akili
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,905 Reaction score 33,099 Jun 8, 2024 #4 Umeukimbia ule uzi wako mwingine kule ulioandika kama bata anaji-help
kopites JF-Expert Member Joined Jan 28, 2015 Posts 9,781 Reaction score 12,207 Jun 8, 2024 #5 Masele mhunzi said: View attachment 3012224 Click to expand... Chaya naona unajipigia promo Kaza Mwanangu ππ,Mama samia mteue kijana
Masele mhunzi said: View attachment 3012224 Click to expand... Chaya naona unajipigia promo Kaza Mwanangu ππ,Mama samia mteue kijana
Small letter JF-Expert Member Joined Jun 7, 2024 Posts 309 Reaction score 188 Jun 8, 2024 #6 kopites said: Chaya naona unajipigia promo Kaza Mwanangu ππ,Mama samia mteue kijana Click to expand... Hamna kitu pale π€£π€£ Jamaa kazi ni kutafuna tu wake za watu, Ila Manyoni mnahasara sana, Kuna Mwaka nilikuwa hapo Upinzani ndio ulikuwa na vijana smart sana, Ila huyu mbunge asithubutu ata kugombea tena atapoteza Kila kitu
kopites said: Chaya naona unajipigia promo Kaza Mwanangu ππ,Mama samia mteue kijana Click to expand... Hamna kitu pale π€£π€£ Jamaa kazi ni kutafuna tu wake za watu, Ila Manyoni mnahasara sana, Kuna Mwaka nilikuwa hapo Upinzani ndio ulikuwa na vijana smart sana, Ila huyu mbunge asithubutu ata kugombea tena atapoteza Kila kitu
Small letter JF-Expert Member Joined Jun 7, 2024 Posts 309 Reaction score 188 Jun 8, 2024 #7 Xystus said: Hamna mtu anayetokea manyoni, akawa na akili Click to expand... Wapo vijana Wazuri sana ila Upinzani
Xystus said: Hamna mtu anayetokea manyoni, akawa na akili Click to expand... Wapo vijana Wazuri sana ila Upinzani
N NewChapter JF-Expert Member Joined May 17, 2024 Posts 251 Reaction score 160 Jun 8, 2024 #8 Small letter said: Wapo vijana Waziri sana ila Upinzani Click to expand... Wote walishakwenda CCM
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,193 Reaction score 138,536 Jun 8, 2024 #9 Hapo kwenye vichwa weka vichaa
Small letter JF-Expert Member Joined Jun 7, 2024 Posts 309 Reaction score 188 Jun 9, 2024 #10 NewChapter said: Wote walishakwenda CCM Click to expand... Hata kama walikwenda CCM washawishiwe kugombea niliona ni vijana wanaoweza kuleta changamoto pale Manyoni.
NewChapter said: Wote walishakwenda CCM Click to expand... Hata kama walikwenda CCM washawishiwe kugombea niliona ni vijana wanaoweza kuleta changamoto pale Manyoni.
N NewChapter JF-Expert Member Joined May 17, 2024 Posts 251 Reaction score 160 Jun 9, 2024 #11 Small letter said: Hata kama walikwenda CCM washawishiwe kugombea niliona ni vijana wanaoweza kuleta changamoto pale Manyoni. Click to expand... Ngoja tuone muda ukifika
Small letter said: Hata kama walikwenda CCM washawishiwe kugombea niliona ni vijana wanaoweza kuleta changamoto pale Manyoni. Click to expand... Ngoja tuone muda ukifika