CCM ina wanachama Milioni 15, wakijiandikisha wao tu inatosha, tusilazimishane kujiandikisha

Nadhani sensa ya wana CCM ilijumlisha na mifugo yao.
Yaani maana ccm mmoja ana mbwa 1, paka1, mbuzi 5 kwahiyo hapo unapata wanaccm 8
 
Sasa kwann mtulazimishe kwenda kujiandikisha wakati mna wanachama 15m.?
Polepole hua mara nyingi anasema ccm ina wanachama milioni 15 ambao wako hai.

Takwimu za NEC za mwaka 2015 waliojiandikisha walikua milioni 21 hivi na wakapiga kura watu milioni 15.

Wakijiandikisha wanaccm pekee wanafika 100% ya waliopiga kura 2015, ya nini kulazimisha wengine wajiandikishe na kutishia kufuta vijiji wakati ccm wenyewe wakijiandikisha wanatosha?

Ccm jiandikisheni, mpigiane kura wenyewe mpate ushindi wa 100%, ushindi wa kishindo. Msilazimishe wengine kujiandikisha.
255758132224_status_368225fa8111494a8007f841d6dda439.jpeg
 
Back
Top Bottom