Kwani ccm ilisajiliwa lini? Je viongozi wake walibadilishwa kwa wakati huo? Basi waambie waache kusema ccm chama kikongwe na kimeleta uhuru wa nchi hii.
Kuna jambo linasemwa humu ndani sijui kwa kutiwa chumvi au ni kwa kutokujua. Nchi hii (Tanganyika?) tangu ipate uhuru mwaka 1961 na kufuatiwa na mapinduzi ya Zanzibara mwaka 1964 hatimaye Muungano wa nchi hizo mbili uliozaa Tanzania imepita miaka 50. Tangayika kulikuwa na chama cha TANU na Zanzibar kulikuwa na chama cha ASP.
Vyama hivi viwili viliungana na kuwa chama kimoja kilichokuja kuitwa CCM hapo tarehe 5/2/1977. Kwa hiyo si sahihi kusema kwamba CCM ina miaka 50 madarakani kwani chenyewe kama chama kina miaka 32 tu tangu kuanzishwa kwake, sasa hiyo miaka 50 ya kutawala Tanzania inatoka wapi? Maana hata Tanzania yenyewe kama nchi ina miaka 47 sasa hiyo 50 ya CCM inatoka wapi?
Kuna watu wanadai kwamba hili limetokana na miaka ya CCM kuhesabiwa tangu enzi za TANU. Hoja hii huwa inanishangaza sana kwani ni lini tumeanza kuhesabu umri wa mtoto kwa kuchanganya na ule wa wazazi wake!! Nimeileta hoja hii kwani inatumiwa sana na wanasiasa wetu bila kujua kwamba wakija CCM wanakanusha kwamba chama chao hakina miaka 50 na badala yake kina miaka 32 tu. CCM huanza kwa kutumia hoja hiyo ya tofauti ya miaka kujenga hoja kwamba wapinzani ni waongo.

You are the great thinker! Mimi hoja yangu kama kweli tunataka kujenga taifa la watu wanaofikiri kwa makini basi ni lazima sisi kwanza tufikiri kwa makini. Tanganyika ilikufa mwaka 1964 kwa kuungana na Zanzibar lakini Zanzibar haikufa. Kwa hiyo hata ile miaka Hamsini tutakayosheherekea mwaka huu sijui ni ya nini hasa!!Mbombo jilipo, mnasoma sana mwishowe kila jambo gumu kwenu.
Manake hata tanzania haina miaka 50 na tanganyika haikufika miaka 5 ikafa. Yaani sijui tunasherekea nini.
Mie napita tu!
Ukiulizwa Hiace umepandia wapi utajibu nini??Ndugu fanya unasafiri kwa COASTER (gari) toka Mbeya kwenda uendako. Unafika Iringa unabadili gari na kupanda HAICE. Mkiwa safarini unaulizwa mwenzetu unaulizwa umetokea wapi? Je jibu lake ni Iringa au Mbeya?
I know...I was trying to support your argument that, CCM was not born in 1961 (It is not 50 years old).hata mimi sijasema kwamba TANU au ASP ilizaliwa 1961.
nani anaweza kunieleza baada ya kuzaliwa kwa tanzania na ccm nini kilibadilika mbali ya majina.hapa tunazungumzia miaka 50 ya utumwa wa ccm samahani uhuru.kuna jambo linasemwa humu ndani sijui kwa kutiwa chumvi au ni kwa kutokujua. Nchi hii (tanganyika?) tangu ipate uhuru mwaka 1961 na kufuatiwa na mapinduzi ya zanzibara mwaka 1964 hatimaye muungano wa nchi hizo mbili uliozaa tanzania imepita miaka 50. Tangayika kulikuwa na chama cha tanu na zanzibar kulikuwa na chama cha asp.
Vyama hivi viwili viliungana na kuwa chama kimoja kilichokuja kuitwa ccm hapo tarehe 5/2/1977. Kwa hiyo si sahihi kusema kwamba ccm ina miaka 50 madarakani kwani chenyewe kama chama kina miaka 32 tu tangu kuanzishwa kwake, sasa hiyo miaka 50 ya kutawala tanzania inatoka wapi? Maana hata tanzania yenyewe kama nchi ina miaka 47 sasa hiyo 50 ya ccm inatoka wapi?
Kuna watu wanadai kwamba hili limetokana na miaka ya ccm kuhesabiwa tangu enzi za tanu. Hoja hii huwa inanishangaza sana kwani ni lini tumeanza kuhesabu umri wa mtoto kwa kuchanganya na ule wa wazazi wake!! Nimeileta hoja hii kwani inatumiwa sana na wanasiasa wetu bila kujua kwamba wakija ccm wanakanusha kwamba chama chao hakina miaka 50 na badala yake kina miaka 32 tu. Ccm huanza kwa kutumia hoja hiyo ya tofauti ya miaka kujenga hoja kwamba wapinzani ni waongo.