Ccm imezeeka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm imezeeka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchonga, Nov 14, 2010.

 1. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Ngomo

  Ngomo Senior Member

  #2
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 199
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Chama cha Mapinduzi kimekaa madarakani kwa muda mrefu mpaka umefika wakati mwenyekiti wake anakiri kwamba kimekosa mvuto kwa wananchi.

  Hii yote inathibitisha kwamba sasa CCM hakijui nini cha kufanya ila kujichukulia dola. Kama watanzania tungekuwa na nia thabiti ya kukiondoa madarakani huu ndio wakati muafaka wa kuwaweka pembeni.

  Tusipowatoa sasa basi maisha bora kwa kila mtanzania ni ndoto tu. Kumbe kikwazo cha maisha bora ya kila mtanzania ni CCM na si vinginevyo
   
 3. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,976
  Likes Received: 37,592
  Trophy Points: 280
  Hiki chama kimefika mwisho wa uhai wake na bahati mbaya sana kinazeeka vibaya na mbaya zaidi kimeanza kupoteza kumbukumbuku kabisa na ndio maana hakiishi vituko.

  Nii kama kikongwe leo atakwambia hiki kesho ukimuuliza amesahau!Leo atasema nataka hiki kesho anageuka,n.k.Yaani tabu tupu!

  Tatizo ni kuwa hiki chama kilitakiwa kustaafu siku nyingi tu(inawezekana 2010 kama sio 2015) ila kilidanganya umri kwa ulevi tu wa madaraka na sasa haya ndio matokeo yake!

  Kwakweli tuache utani sisiem inazeeka vibaya jamani mpaka aibu!
   
 4. Online Pastor

  Online Pastor JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2017
  Joined: Sep 7, 2017
  Messages: 1,472
  Likes Received: 1,243
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo unamanisha kimekula chumvi nyingi,na hivyo kimejaa hikma,ujuzi na busara?
   
 5. c

  chige JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2017
  Joined: Jul 11, 2016
  Messages: 5,845
  Likes Received: 9,844
  Trophy Points: 280
  Sio kwamba CCM inazeeka vibaya bali CCM imezeeka vibaya! CCM imeshazeeka na tayari ni ajuza! CCM ni kibibi kizee ambacho hakuna ilichofanikiwa zaidi ya kutuzalia majizi, majangiri, mafisadi, majahiri, mazimwi wala watu, manduli pamoja na mafisadi wa kila aina!!!

  Matokeo yake, hata leo hii kitoto cha miaka 23 kikipata ajira hakuna kinachofikiria zaidi ya kupiga kwa sababu ndio urithi pekee toka kwa ajuza CCM.
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2017
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,094
  Trophy Points: 280
  Na maovu yao wanayoyafanya nchini wakiongozwa na dikteta uchwara wanataka kuyafanya siri kubwa ili yasijulikane na nchi nyingine duniani

  Tanzania yajiondoa kwenye Mkakati wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji(OGP)

   
 7. SaidSabke

  SaidSabke JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2017
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 1,968
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Ninamashaka salaryslip na ufahamu wako wa siasa
   
 8. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,976
  Likes Received: 37,592
  Trophy Points: 280
  Hapana, hiki chama kinatakiwa kihakikiwe umri nina wasiwasi kimefoji ndioo maana kimeanza kupoteza hata kumbukumbu.Kilitakiwa kustaa miaka ya nyuma.
   
 9. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,976
  Likes Received: 37,592
  Trophy Points: 280
  Hiki chama kwa umri kilchofikia hata kulea wajukuu hakifai bali kinatakiwa kwenda kulelewa kwenye nyumba za kulelea wazee.

  Mkuu,tutashuhudia mengi ya kustaajabisha.
   
 10. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,976
  Likes Received: 37,592
  Trophy Points: 280
  NightCrawler hii mada yangu mkuu umeiua kwa kuiunganisha na uzi wa mwaka 2011 uzi ambao haukupata mchangiaji hata mmoja.

  Hawa jamaa tusipowasema hii nchi wataifkisha pabaya hivyo nanyi mods mtusaidie.

  Lissu alituasa wote tupaze sauti kila mtu kwa nafasi yake maana hakuna alie salama.
   
Loading...