Ccm imezeeka

Chama cha Mapinduzi kimekaa madarakani kwa muda mrefu mpaka umefika wakati mwenyekiti wake anakiri kwamba kimekosa mvuto kwa wananchi.

Hii yote inathibitisha kwamba sasa CCM hakijui nini cha kufanya ila kujichukulia dola. Kama watanzania tungekuwa na nia thabiti ya kukiondoa madarakani huu ndio wakati muafaka wa kuwaweka pembeni.

Tusipowatoa sasa basi maisha bora kwa kila mtanzania ni ndoto tu. Kumbe kikwazo cha maisha bora ya kila mtanzania ni CCM na si vinginevyo
 
Hiki chama kimefika mwisho wa uhai wake na bahati mbaya sana kinazeeka vibaya na mbaya zaidi kimeanza kupoteza kumbukumbuku kabisa na ndio maana hakiishi vituko.

Nii kama kikongwe leo atakwambia hiki kesho ukimuuliza amesahau!Leo atasema nataka hiki kesho anageuka,n.k.Yaani tabu tupu!

Tatizo ni kuwa hiki chama kilitakiwa kustaafu siku nyingi tu(inawezekana 2010 kama sio 2015) ila kilidanganya umri kwa ulevi tu wa madaraka na sasa haya ndio matokeo yake!

Kwakweli tuache utani sisiem inazeeka vibaya jamani mpaka aibu!
 
Sio kwamba CCM inazeeka vibaya bali CCM imezeeka vibaya! CCM imeshazeeka na tayari ni ajuza! CCM ni kibibi kizee ambacho hakuna ilichofanikiwa zaidi ya kutuzalia majizi, majangiri, mafisadi, majahiri, mazimwi wala watu, manduli pamoja na mafisadi wa kila aina!!!

Matokeo yake, hata leo hii kitoto cha miaka 23 kikipata ajira hakuna kinachofikiria zaidi ya kupiga kwa sababu ndio urithi pekee toka kwa ajuza CCM.
 
Na maovu yao wanayoyafanya nchini wakiongozwa na dikteta uchwara wanataka kuyafanya siri kubwa ili yasijulikane na nchi nyingine duniani

Tanzania yajiondoa kwenye Mkakati wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji(OGP)

Hiki chama kimefika mwisho wa uhai wake na bahati mbaya sana kinazeeka vibaya na mbaya zaidi kimeanza kupoteza kumbukumbuku kabisa na ndio maana hakiishi vituko.

Yaani ni kama kikongwe leo atakwambia hiki kesho ukimuuliza amesahau!Leo atasema nataka hiki kesho anageuka,n.k.

Tatizo ni kuwa hiki chama kilitakiwa kustaafu siku nyingi ila kilidanganya umri kwa ulevi tu wa madaraka na sasa haya ndio matokeo yake!

Kwakweli tuache utani sisiem inazeeka vibaya jamani mpaka aibu!
 
Hiki chama kimefika mwisho wa uhai wake na bahati mbaya sana kinazeeka vibaya na mbaya zaidi kimeanza kupoteza kumbukumbuku kabisa na ndio maana hakiishi vituko.

Yaani ni kama kikongwe leo atakwambia hiki kesho ukimuuliza amesahau!Leo atasema nataka hiki kesho anageuka,n.k.

Tatizo ni kuwa hiki chama kilitakiwa kustaafu siku nyingi ila kilidanganya umri kwa ulevi tu wa madaraka na sasa haya ndio matokeo yake!

Kwakweli tuache utani sisiem inazeeka vibaya jamani mpaka aibu!
Ninamashaka salaryslip na ufahamu wako wa siasa
 
Hiki chama kimefika mwisho wa uhai wake na bahati mbaya sana kinazeeka vibaya na mbaya zaidi kimeanza kupoteza kumbukumbuku kabisa na ndio maana hakiishi vituko.

Nii kama kikongwe leo atakwambia hiki kesho ukimuuliza amesahau!Leo atasema nataka hiki kesho anageuka,n.k.Yaani tabu tupu!

Tatizo ni kuwa hiki chama kilitakiwa kustaafu siku nyingi tu(inawezekana 2010 kama sio 2015) ila kilidanganya umri kwa ulevi tu wa madaraka na sasa haya ndio matokeo yake!

Kwakweli tuache utani sisiem inazeeka vibaya jamani mpaka aibu!
NightCrawler hii mada yangu mkuu umeiua kwa kuiunganisha na uzi wa mwaka 2011 uzi ambao haukupata mchangiaji hata mmoja.

Hawa jamaa tusipowasema hii nchi wataifkisha pabaya hivyo nanyi mods mtusaidie.

Lissu alituasa wote tupaze sauti kila mtu kwa nafasi yake maana hakuna alie salama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom