MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,296
Tunawashauri CHADEMA na CUF nanyi kupanga kujenga vyuo vyenu vikuu vya uongozi. Tutachangia. Jino kwa jino!
Tunawashauri CHADEMA na CUF nanyi kupanga kujenga vyuo vyenu vikuu vya uongozi. Tutachangia. Jino kwa jino!
Ulimbukeni pia - kwa nini kiwe chuo kikuu cha chama badala ya chuo cha chama. Hii ni kupotosha na kubaka dhana nzima ya 'chuo kikuu'. Lakini iwapo kitapewa baraka na serikali, basi mkondo uwe huo huo kwa vyama vingine.Kama wataproduce viongozi kama walionao sasa, itakuwa ni kupoteza rasirimali zao. Kwani Kivukoni kimekuwa kikifanya nini miaka yote?