CCM imepaniki?

CCM imepaniki?

kabangila

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Posts
438
Reaction score
141
Nimeshindwa kuelewa matukio haya matatu, mimi naona maji ya shingo kwa ccm mapema kabisa.

1. Inaonekana kabisa vyombo vya habari vimetishwa kwa kuiangalia ITV tu, wameambiwa watoe priority kwa ccm na ku-ignore za upinzani.

2. Ikiwa mwenyekiti wa ccm anasindikiza kuchukua fomu za mgombea, sijui itakuwaje mpaka october!

3. Suala zima la mgombea wa ccm kutokea kwenye TV akiongelea kuhusu kuipongeza ITV kwa ajili tu eti kipindi kizuri cha barabarani wakati kuna issues nyingi za kitaifa!

Nimehuzunishwa na strategists wa ccm, inaonekana strategists wamepaniki na ccm yote imepaniki.

HAPO NDIO KWANZA SAFARI YA MABADILIKO IMEANZA, NI TSUNAMI KUBWA INAWAKUMBA, WAMEPAGAWA.
 
mbona hueleki ccm imepaniki ccm imepaniki mara itv mm naona wewr umepaniki
 
Mbona ccm wanajua kabisa kuwa washakuwa chama pinzani tena wanako elekea kitashika nafasi ya nne baada ya UDP na TLP,kumekicha subiri siku mzee ataenda kuchukia fomu pale ofisi za tume dar yote ita simama kwa masaa yasiyo pungua sita hadi saba
 
Nilikuwapo maeneo ya Berida bar mtaa wa Livingstone na Somali tukifatilia matukio na Hotuba za viongozi wa ukawa pamoja na ya Rais wetu anayesubr kuapishwa Mh..Lowassa, tulikuwepo yapata watu 50 kati yetu Ibilisi alikuwa 1tu japo lilitokanduki baada ya kujigundua ccm liko pekeyake
 
Ni baada ya kugundua mgombea wao kumbe uwezo wake ni kukumbuka idadi ya kilometa za barabara kwa kichwa tuu na sio zaidi ya hilo.
Sasa wale wa Vijijini ambako hata rangi ya lami hawaijui zile mbwembwe za kilometa mia saba nukta tatu tano point zero five zitasaidia nini?
 
Maccm tumeichoka
Mnamfahamu Abdulrahman Kinana?
Huyu ni mwana mkakati maarufu ambaye anatumia mbinu zote uzijuazo katika kusaka ushindi.
Si mtu wa kupuuza hata kidogo na tusubiri kidogo kampeni zianze hasa ukitilia maanani kuwa watanzania hawana msimamo kamili na ni watu wa kulalamika.
 
Mnamfahamu Abdulrahman Kinana?
Huyu ni mwana mkakati maarufu ambaye anatumia mbinu zote uzijuazo katika kusaka ushindi.
Si mtu wa kupuuza hata kidogo na tusubiri kidogo kampeni zianze hasa ukitilia maanani kuwa watanzania hawana msimamo kamili na ni watu wa kulalamika.

...kinana anamkakayi gani kuahinda wa lowasa uliomuweka jk magogoni...? laigwani kakamata kila kona ccm hawana pa kutokea. ana watu wa kuumpa taarifa kuanzia kata mpaka taiga, mkurugenzi wa uchaguzi wa ccm yupo chini ya laigwani, niambie kinana ananini kuvishinda hivi vichwa...?
 
...mkuu kabangila umeniwahi, nikikuwa nataka kuleta uzi wa kusema " mjomba kasha panic " kwa kaukizake za leo bhaaas yupo mbendembende hachomoki kwa laigwani...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom