CCM imepaniki?

CCM imepaniki?

Ni baada ya kugundua mgombea wao kumbe uwezo wake ni kukumbuka idadi ya kilometa za barabara kwa kichwa tuu na sio zaidi ya hilo.
Sasa wale wa Vijijini ambako hata rangi ya lami hawaijui zile mbwembwe za kilometa mia saba nukta tatu tano point zero five zitasaidia nini?

sikutaka kulogin humu lakini umenichekesha sana imebidi tu nilogin nikupe like...
 
CCM wanajijua sio watendaji,ni wajanja fulani tena wahuni.
 
siku hizi jf inaelekea kuwa kama fb tu hivi inahitaji degree kujua kuwa mwenyekiti kumsubir mgombea wake ni sahihi? maguful kaenda kuchukua form kuja ofisi ndogo ya chama anapokelewa na mwenyekiti wake kuna tatizo gani? hebu na ninyi sasa achaneni na ya mi ccm komaeni na ya mzee wa matumaini! mi nilijua utahoj iweje wagombea ubunge(lembeli na bulaya) wapokewe na viongoz wote wa cdm lakini mgombea urais(lowasa) apokewe na baadhi ya viongoz wengine eti walikuwa na majukum
 
JK ameonekana akitokwa povu mithili ya mtu aliyemeza sabuni ya omo.

hahaa sio sabuni ya OMO ..anahangaika kama samaki aliyemeza ndoano..Mara anakata miuno kama mcheza show wa akudo..ni shidaaaa. Mpaka oktoba mshono utafumuka ..na bado
 
CCM wanajijua sio watendaji,ni wajanja fulani tena wahuni.

Na hiki ni chama cha wahuni kweli kweli. Wahuni waliojijengea tabia ya kwamba hii nchi ipo kwaajiri yao na familia zao. Mbona hatu jamsikia Obama akisema lazima Mrs Clinton ashinde. Au kwa vile sisi tupo Afrika? Au kwavile tumaskini au kwavile Sisi Watanzania tumeamua Taifa letu litawaliwe kwa mabavu? Kusupport uhuni wa namna hii utatufanya tuendelea kuishi kwenye nyumba za nyasi milele.
 
Ni baada ya kugundua mgombea wao kumbe uwezo wake ni kukumbuka idadi ya kilometa za barabara kwa kichwa tuu na sio zaidi ya hilo.
Sasa wale wa Vijijini ambako hata rangi ya lami hawaijui zile mbwembwe za kilometa mia saba nukta tatu tano point zero five zitasaidia nini?
Mambo binafsi ya JK na Lowassa yatamfanya JK atumie mbinu zozote kuhakikisha Ikulu haendi Mpinzani.
 
Ni baada ya kugundua mgombea wao kumbe uwezo wake ni kukumbuka idadi ya kilometa za barabara kwa kichwa tuu na sio zaidi ya hilo.
Sasa wale wa Vijijini ambako hata rangi ya lami hawaijui zile mbwembwe za kilometa mia saba nukta tatu tano point zero five zitasaidia nini?

Chadema tutachukua nchi saa 04:30 asubuhi ya Oktoba 25! Sababu ya kuitoa madarakani tunayo, nia ya kuitoa madarakani tunayo! Tutaitoa CCM madarakani kwakuwa imetuchokoza! Mwalimu Nyerere alitutangazia maadui 3 wa Watanzania ambao ni Ujinga, Maradhi na Umasikini sasa hivi ameongezeka adui mwingine ambaye ni CCM!
 
Sasa mkuu ushauri wako wewe ni nini kwa viongozi hawa wa serikali ili wafanye inavyotakiwa? Au ndio umopost tu ilimradi?
 
Huo ndio ukweli CCM wamevurugwa sana Ndio maana hata ukifatilia kwenye mitandao wanaojiliza ni CCM eti...wanaionea huruma CDM mbona bado tutaheshimiana tu
 
ccm imekamatwa pabaya kipindi hiki na umesikia tena uswizi wamekamata pembe za ndovu kutoka Tanzania Dar es saalam wakiwa nazo wachina
 
Lowasa anatumia pesa zake kutaka kuinunua ikulu na kamwe hatafanikiwa, amenunua watu wa kumpamba kila kona na baadhi ya media lkn niwakumbushe tu ni debe tupu hilo litapiga kelele mitaani, wenzenu wako na mikakati ya kimyakimya. Mbwembwe zilizoishia Dodoma safari hii zinakwenda kumalizikia ufipa
bila shaka wewe ni mtunza fedha wake mwenye ushahidi huo wa kutoa pesa.
 
Na hiki ni chama cha wahuni kweli kweli. Wahuni waliojijengea tabia ya kwamba hii nchi ipo kwaajiri yao na familia zao. Mbona hatu jamsikia Obama akisema lazima Mrs Clinton ashinde. Au kwa vile sisi tupo Afrika? Au kwavile tumaskini au kwavile Sisi Watanzania tumeamua Taifa letu litawaliwe kwa mabavu? Kusupport uhuni wa namna hii utatufanya tuendelea kuishi kwenye nyumba za nyasi milele.

mkuu umeongea mambo mazito sana, ambayo kwa kweli kama watanzania ni vyema kuyatafakari kwa kina juu ya kauli hizi 2:

tuanze na katibu mwenezi bw nape nauye:

ccm itashinda hata kwa goli la mkono:

jana mwenyekiti wa ccm ndugu kikwete:

ccm itashinda inauzoefu wa kushinda ina maarifa ya ushindi,

ndugu zangu watanzania hembu viongozi wa dini wakemee kauli hizi hambazo zitatupelekea kuipoteza amani ya nchi yetu,
 
Hajataja tarehe kwa hiyo inaweza kuwa asubuhi ya tarehe 26 au hata 27 oct 2015. Pia anaweza kuwa anamaanisha atawapita sana wapinzani wake kiasi kwamba hesabu za mwanzo mwanzo tu zitamwonyesha kuwa mshindi kabla hata nusu ya kura hazijahesabiwa! Asubuhi yaweza kumaanisha chochote.
 
sikutaka kulogin humu lakini umenichekesha sana imebidi tu nilogin nikupe like...
Hata wewe mkuu BadoMbali akisikia jina lako atakujibu sio mbali sana ni kilometa kumina nne point saba mbili nukta tano zero. Unacheza na mzee wa kilometa mkuu?
 
Last edited by a moderator:

Nimeshindwa kuelewa matukio haya matatu, mimi naona maji ya shingo kwa ccm mapema kabisa.

1. Inaonekana kabisa vyombo vya habari vimetishwa kwa kuiangalia ITV tu, wameambiwa watoe priority kwa ccm na ku-ignore za upinzani.

2. Ikiwa mwenyekiti wa ccm anasindikiza kuchukua fomu za mgombea, sijui itakuwaje mpaka october!

3. Suala zima la mgombea wa ccm kutokea kwenye TV akiongelea kuhusu kuipongeza ITV kwa ajili tu eti kipindi kizuri cha barabarani wakati kuna issues nyingi za kitaifa!

Nimehuzunishwa na strategists wa ccm, inaonekana strategists wamepaniki na ccm yote imepaniki.

HAPO NDIO KWANZA SAFARI YA MABADILIKO IMEANZA, NI TSUNAMI KUBWA INAWAKUMBA, WAMEPAGAWA.

Niliyosema siku mbili zilizopita yanajionyesha leo kwa ufasaha. Habari ya Lipumba kujiuzulu imewekwa ya kwanza ITV, STAR TV na TBC nayo inaonyesha habari ya UKAWA?
 
Ndoroooooooooooooooooooooobo hawa CCM, wametunyonya vya kutosha
 
Back
Top Bottom