Hawa jamaa sijui watahamia wapi. Maana itafika muda hata hao polisi watashindwa kuwalindaImagine mbunge mwenzako..hajawahi kukuibia mkeo leo hii ww unasema asitishiwe mshahara wake..na unajua yepi yaliyomsibu..sabufa naye kwa migonjwa inayomuandama analiunga hoja hilo suala..alafu jumapili wanakaa mbele kabisa waonekane wapo kanisani!shenzy typ
Tiba ni kunyosha mkono wa amani. Kenya baada ya mikwaruzano handshake imeleta utulivu. THE HANDSHAKE IS AS SOLID AS A ROCK.
Lakini kwa hawa wanaodhani wako peponi ni vigumu kujua hisia za wananchi. Kwao wao madaraka ni zaidi ya imani misikitini na makanisaniTiba ni kunyosha mkono wa amani. Kenya baada ya mikwaruzano handshake imeleta utulivu. THE HANDSHAKE IS AS SOLID AS A ROCK.
Sawa mke wa baloziccm ipo imara na vyama hivi ukiviruhusu yenyewe so kama masikio yanataka kuzidi kichwa wacha yakatwe
Kwa akili kama hizi hatukulaumuccm ipo imara na vyama hivi ukiviruhusu yenyewe so kama masikio yanataka kuzidi kichwa wacha yakatwe
Ndugu zangu watanzania, hizi chuki zilianza taratibu, ila katika serikali ya awamu ya Tano, na Bunge la Ndungai, chuki dhidi ya watawala imeshika kasi. Imetawala kutokana na mateso yao kwa wananchi, uonevu na dhulma.
Huku serikali inawanyanyasa raia, kule Bunge inawanyanyasa wapinzani na kupitisha sheria za ajabu ajabu na kuwaonea wapinzani huku wakijiona kana kwamba wataishi milele. Wabunge kama Musukuma, Kibajaji, Mlinga, Mhagama, Ndungai wanaishi kana kwamba mauti hayatawafikia. Kabla jogoo hajawika, nchi inayosifika kama kisiwa cha amani, leo, wananchi bila woga wanasema watalia PUNDA au MBWA akifariki, ila siyo nwana CCM. Kwa kifupi , tumefika pabaya
Kila kiongozi wa CCM anaombewa kifo. Kweli? Serikali, na Bunge angalieni mliko teleza mjirekebishe
Haswa. Na huo mkono unyooshwe mapema. Maumivu yakivuka hatua fulani nyoyo za wahanga zitalilia malipo ya damu na mkono wa amani hautatoshaTiba ni kunyosha mkono wa amani. Kenya baada ya mikwaruzano handshake imeleta utulivu. THE HANDSHAKE IS AS SOLID AS A ROCK.
Kweli kabisa