CCM Imepanda Mbegu Za Chuki, Sasa Inavuna Matunda Ya Chuki.

Nairobian

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
820
1,000
Ndugu zangu watanzania, hizi chuki zilianza taratibu, ila katika serikali ya awamu ya Tano, na Bunge la Ndungai, chuki dhidi ya watawala imeshika kasi. Imetawala kutokana na mateso yao kwa wananchi, uonevu na dhulma.

Huku serikali inawanyanyasa raia, kule Bunge inawanyanyasa wapinzani na kupitisha sheria za ajabu ajabu na kuwaonea wapinzani huku wakijiona kana kwamba wataishi milele. Wabunge kama Musukuma, Kibajaji, Mlinga, Mhagama, Ndungai wanaishi kana kwamba mauti hayatawafikia. Kabla jogoo hajawika, nchi inayosifika kama kisiwa cha amani, leo, wananchi bila woga wanasema watalia PUNDA au MBWA akifariki, ila siyo nwana CCM. Kwa kifupi , tumefika pabaya

Kila kiongozi wa CCM anaombewa kifo. Kweli? Serikali, na Bunge angalieni mliko teleza mjirekebishe
 
Nairobian

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
820
1,000
Imagine mbunge mwenzako..hajawahi kukuibia mkeo leo hii ww unasema asitishiwe mshahara wake..na unajua yepi yaliyomsibu..sabufa naye kwa migonjwa inayomuandama analiunga hoja hilo suala..alafu jumapili wanakaa mbele kabisa waonekane wapo kanisani!shenzy typ
Hawa jamaa sijui watahamia wapi. Maana itafika muda hata hao polisi watashindwa kuwalinda
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
26,041
2,000
ccm ipo imara na vyama hivi ukiviruhusu yenyewe so kama masikio yanataka kuzidi kichwa wacha yakatwe
Kwa akili kama hizi hatukulaumuccm.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RockCarnegie

JF-Expert Member
Jan 17, 2019
972
1,000
Ndugu zangu watanzania, hizi chuki zilianza taratibu, ila katika serikali ya awamu ya Tano, na Bunge la Ndungai, chuki dhidi ya watawala imeshika kasi. Imetawala kutokana na mateso yao kwa wananchi, uonevu na dhulma.

Huku serikali inawanyanyasa raia, kule Bunge inawanyanyasa wapinzani na kupitisha sheria za ajabu ajabu na kuwaonea wapinzani huku wakijiona kana kwamba wataishi milele. Wabunge kama Musukuma, Kibajaji, Mlinga, Mhagama, Ndungai wanaishi kana kwamba mauti hayatawafikia. Kabla jogoo hajawika, nchi inayosifika kama kisiwa cha amani, leo, wananchi bila woga wanasema watalia PUNDA au MBWA akifariki, ila siyo nwana CCM. Kwa kifupi , tumefika pabaya

Kila kiongozi wa CCM anaombewa kifo. Kweli? Serikali, na Bunge angalieni mliko teleza mjirekebishe

Nƴerere alisema mtu akila nyama ya binaɗamu mwenzie hawezi acha! CCM haiwszi kujirekebisha!
 
MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
1,403
2,000
Namchukia mwanaccm yeyote popote ninapokutana nae maana huwa nawaona Kama wachawi Fulani hivi
 
Nowonmai

JF-Expert Member
Jan 15, 2019
544
1,000
Tiba ni kunyosha mkono wa amani. Kenya baada ya mikwaruzano handshake imeleta utulivu. THE HANDSHAKE IS AS SOLID AS A ROCK.
Haswa. Na huo mkono unyooshwe mapema. Maumivu yakivuka hatua fulani nyoyo za wahanga zitalilia malipo ya damu na mkono wa amani hautatosha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom