Ndugu zangu watanzania, hizi chuki zilianza taratibu, ila katika serikali ya awamu ya Tano, na Bunge la Ndungai, chuki dhidi ya watawala imeshika kasi. Imetawala kutokana na mateso yao kwa wananchi, uonevu na dhulma.
Huku serikali inawanyanyasa raia, kule Bunge inawanyanyasa wapinzani na kupitisha sheria za ajabu ajabu na kuwaonea wapinzani huku wakijiona kana kwamba wataishi milele. Wabunge kama Musukuma, Kibajaji, Mlinga, Mhagama, Ndungai wanaishi kana kwamba mauti hayatawafikia. Kabla jogoo hajawika, nchi inayosifika kama kisiwa cha amani, leo, wananchi bila woga wanasema watalia PUNDA au MBWA akifariki, ila siyo nwana CCM. Kwa kifupi , tumefika pabaya
Kila kiongozi wa CCM anaombewa kifo. Kweli? Serikali, na Bunge angalieni mliko teleza mjirekebishe