CCM imelaaniwa - mhadhiri

CCM imelaaniwa - mhadhiri

C C M
Chota Chako
Mapema

C U F
Chukua Ule
Fasta
N C C R
Nenda Chukua Chako Rudi "MAGEUZI"

U D P
Upatapo Donge Ponda.

D P P
Dumisha Papara ya Pesa

C H A D E M A
Chukua Hatua Ambazo Daima ni Endelevu kwa Maisha ya Amani.

Hiyo ya chadema itungiwe Wimbo safi sana!!!!!
 
Mkuu Bushiru Ally, angalia kibarua kisije ota nyasi, jamaa hawataki kusemwa hadharani kabisa!!


Bora kibarua mkuu, kwavile elimu anayo kichwani atapata kwingine.. issue ni kucha na meno yake, tena bila ganzi! Ila hongera kwa kuthubutu kuusema ukweli
 
Chadema ni nzuri, hata mimi naipenda sanaaa...nikiona minguo ya maccm ile ya kijani nahisi nimeona iziraeli mtoa roho za watu.
 
Yani neno "Laana" ni kali sana kulitumia kisa ni mpinzani wako kimawazo ,kimtazamo au kisiasa.Ni vyema tutafute maneno mengine ya kuyatumia ilihali heshima zetu tunaendelea kuzitunza
Kama na wewe huoni laana ya ccm basi una laana pia
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Aliyesema haya maneno ni Bashiru huyu huyu au vipi
 
Back
Top Bottom