Ndiyo sikatai hilo. Mbona babu yangu Nyerere hakuyafanya mambo mgawanyo kipindi hicho ambacho uelewa ulikuwa mdogo. Hivi leo hii ni kitu gana kisichoonekana ndio hata ukifungia vyombo vya habari lakini bado taarifa zinafika hivi ni Mtanzania gani ana penda uonevu kwa Mtanzania mwenzake sisi hatuko hivyo lile la kweli liwe hibyo. Cheo ni dhamani ndio maana Nyerere bado ana ishi mioyoni mwa wananchi hiyo yote ni hekima aliyokuwa nayo kwa Watanzani na ulimwenguni. Tunakoelekea Viongozi wenye mamlaka na wastaafu wayaangalie kwa makini kila tendo huwa lina mwisho mzuri au mbaya kwa hiyo nchi ni moja. Ee Mwenyezi Mungu naomba uilinde nchi yangu Tanzania. AmenMsikate tamaa,
kumbukeni ule usemi wa Chama chenu " Zidumu Fikra za Mwenyekiti..."
Ni suala la muda tu, muhimu kusubiri bila kukata tamaa, Awamu yake itaisha atakuja mwingine!
Kushindwa tungeshindwa kwa kuwa hatukutimiza malengo ya Watanzani sio kwa sababu ya upinzani Umepewa nchi kuiongoza then Ukishindwa unamlaumu mpinzani kwa ukweli anawaonyesha wananchi ulikoshindwa kuna makosa gani kwani ushindani uliwekwa wa nini. Hata Rais akishindwa kutekeleza yale ya muhimu aliyoyaahidi ww unategemea kumchagua japo kuwa mm ni mwanaccm sintamchagua kwani kutokutekeleza alichoahidi ni hasara kwangu pia kama Mtanzania. Utawala sio mabavu hasa kwa watanzania waliowamoja tutakushaa kwa mambo yasiyovumilika naejamii yetuBila juhudi za Mh. Magufuli kama Magufuli CCM ingeshindwa mwaka 2015, wacha aitengeneze nchi. CCM ilikithiri kwa rushwa, ukwepaji kodi, kuuza madawa ya kulevya, meno ya tembo na mali asili nyingine na ubadhilifu. CCM ilipoteza mwelekeo wake wala usilalamike sana mwenzangu ndugu yangu. Ngoja asafishe nyumba kwa miaka 5 hii kwanza.
Na mwenyekiti ataufurahisha umma kama sio umati kama atavirejesha viwanja vyote vya mpira TFF kabla 2020.
Mku mining'ono ya chinichini ndani ya chama sio mzuri kwani uasi ndani ya chama huanza kutokana na kutoendana kwa mambo ndani kumbuka kuna Viongozi ambao walitakiwa kuwepo ktk macho ya wanachama au ktk uongozi wa chama au serikali kwa sasa kama wametupwa na michango yao ktk chama inajulikana na wapo wengi hata ile haraka ya kubadili katiba ya chama ni hofu ambayo imetamalaki ndani. La muhimu tuangalie tulikokosea kwani kuna tatizoM
Mh sina uwakika na unacho kinena. Maana sijawahi kuona mwanachama amekuwa na masikio makubwa yakavuka kichwa ccm. Nadhani embu tulia chama kipo imara sana. Hiyo ndio imani yangu mengine majungu tu.
And iko lake linakiri wazi kuwa, kuna haja ya mabadiliko kwa kuwa umesema CCM mlihangaika sana kushindwa uchaguzi mkuu wa 2015, swali kwa nini Mlima gains kama mlikuwa wazuri na mlifanya kazi vizuri?Ninaumia sana tena sana pale ninapoona furaha na fahari tuliyokuwa nayo wanaccm katika awamu zilizopita inatoweka kwa kasi ya ajabu sana. Tumehangaika sana kutafuta ushindi 2015 kwasabb wapinzani walikuwa na nguvu sana.
Lkn mahangaiko hayo na shida tulizopata hayapati mrejesho chanya. Kwa maana ya kwamba hatupewi thamani na hadhi tunayo stahili ndani ya chama. Nitatoa mifano michache tu.
Mosi, majukwaani serikali iliyopo madarakani inatambulishwa kama serikali ya Magufuli. Jambi hili linafanywa na viongozi wote wa ngazi zote, sijui ni kwa bahati mbaya ama ni kwa sabb gani? Jambo hili linadhihirisha namna ambavyo wanaccm tusivyo na thamani awamu hii.
Pili, wanaccm hatuna sauti tena, hatuna haki tena kama raia ama wanachama kukikosoa ama kukishauri chama. Hata ktk vikao vya maamuzi tunaenda kupokea yaliyoaamriwa ama kupangwa na Mwenyekiti taifa. Nyote mnakumbuka Bashe na Msukuma walitiwa nguvuni kwa jaribio la kupinga mawazo ya mwenyekiti asiwe mgombea pekee ndani ya chama 2020. Msambatavangu akavuliwa uanachama kwasabb ya kuendesha kampeni za chini chini kupinga hoja hiyo hiyo.
Tatu, mwenyekiti amekuwa akigawa vyeo kwa anaowataka yeye na si kama anavyoelekezwa na chama. Nafahamu katiba inamruhusu. Lkn haiingii akilini watu waliokesha maporini na kutukanwa mitaani ama kuzomewa wakasahaulika. Ubinadamu na hulka za watanzania vinakataa suala hili. Amewapa uongozi wapinzani ambao wametutukana sana wakati wa kampeni. Kweli??
Nne, kuonesha kuwa chama ni cha MTU na hakifanyi kazi tena kama taasisi, mwenyekiti akikasirishwa na MTU anampa adhabu, akipigiwa magoti ama akitukuzwa tu anamuondolea adhabu. Mfano ni Sophia Simba.
CCM haikuomba kura ili kuja kubomoa misingi ya umoja na mshikamano baina yetu. Sisi sote ni ndugu. Kwann hata kwenda kumuona mtanzania mwenzetu aliyelazwa Nairobi iwe nongwa? Tunaonekana watu wa ajabu kqbisa. Wanaccm wengi wangependa kwenda lkn wakikumbuka yaliyowapata akina Dr Kafumu na Vicky Kamata wanaufyata. Hii siyo ccm ninayoijua mm.
Wanaccm tunajiuliza hivi tutapata wapi nguvuni tena ya kukitetea chama ktk chaguzi zijazo kama hatuthaminiwi baada ya kampeni?
Sio tatizo Sana. Ila sasa ni wakati wa wale waliokuwepo ktk vipindi vilivyopita na kupaza sauti zao ili kuonyesha tatizo linalotufanya tugawanyike. Wapo wengi wenye uwezo huomkuu katiba ya chama ni tatizo kubwa, imempa nguvu zote za kumdhibiti yeyote kwa namna yoyote. Ndiyo maana hata wanaccm tunakosa ujasiri wa kumkemea.
Na hawa Viongozi kama Membe au mwandosya ndo tunajua wanaweza kutuponyesha na hili tatizoHili ni tatizo kubwa sana ndani ya chama chetu ccm. Kila anayesema kweli anaitwa mfuasi wa chadema, Lowasa masalia ama Membe masalia. Tuacheni tuseme kweli daima kama katiba ya chama inavuosema. Wapi mm nimejiandika kuwa ni chadema?? Acha woga kada mwenzangu
..
Naona tunakoelekea ni kuwekeana chipu ktk paji lady uso ili kujuana. Mku kwani tunapelekana wapi ktk umoja tulionao. Mku ktk kata yangu nacheza Kara zangu vizuri ili tatizo ndo kama haya tunayoyaona yakitamalakiHujui CCM wewe acha kujificha katika mgongo wa CCM wakati upo CDM! I can confirm to you that JPM amekuwa mkombozi wa CCM! Kuweza kuondoa mafisadi ndani ya chama! Unadhani nani angelipambana na aki na Madavida, Noni , Shamtes etc. Kama hujui kitu nyamaza
Well say MkuSina maslahi yoyote na fukuto bali mm kama mwanaccm naona tiendako siko. Chama ni wanachama lazima tupewe heshima na tuwe na sauti ndani ya chama. Siyo lqzima kila mwanachama spate cheo. Lkn hata serikali tu ijitambilishe kama serikali ya ccm.
Mimi sijui, lakini Tanzania ilikuwa tunaelekea kubaya kwa vitendo kama mikataba, ufisadi, rushwa, ukwepaji kodi, ubadhilifu, madawa ya kulevya na kutoajibika kwa wananchi. Hata kama upinzani ungeshinda uchaguzi ingebidi wafanye hivihivi anavyofanya Rais Magufuli hakuna namna nyingine ya kufanya kuwaambia watu wasiuze madawa ya kulevya, wasile rushwa, wasiingie mikataba mibovu kwa maslahi yao, kuwaondoa wafanyakazi hewa, nk wakakuelewa.Mku mining'ono ya chinichini ndani ya chama sio mzuri kwani uasi ndani ya chama huanza kutokana na kutoendana kwa mambo ndani kumbuka kuna Viongozi ambao walitakiwa kuwepo ktk macho ya wanachama au ktk uongozi wa chama au serikali kwa sasa kama wametupwa na michango yao ktk chama inajulikana na wapo wengi hata ile haraka ya kubadili katiba ya chama ni hofu ambayo imetamalaki ndani. La muhimu tuangalie tulikokosea kwani kuna tatizo
Kosa yote lakini sio kauli mfano mwangalie PutinMimi sijui, lakini Tanzania ilikuwa tunaelekea kubaya kwa vitendo kama mikataba, ufisadi, rushwa, ukwepaji kodi, ubadhilifu, madawa ya kulevya na kutoajibika kwa wananchi. Hata kama upinzani ungeshinda uchaguzi ingebidi wafanye hivihivi anavyofanya Rais Magufuli hakuna namna nyingine ya kufanya kuwaambia watu wasiuze madawa ya kulevya, wasile rushwa, wasiingie mikataba mibovu kwa maslahi yao, kuwaondoa wafanyakazi hewa, nk wakakuelewa.
Katika utawala wa awamu ya tano nchi imepona pia kindendo cha uchumi na budget ya nchi kuegemea zaidi kanda ya Kaskazini.
Hapo pa Kaskazini ndio tatizo?Kosa yote lakini sio kauli mfano mwangalie Putin
Wivu tuu basi kaskazini walipewa elimu ya ujamaa na ya Wajerumani wakaipokea kwa mikono miwili kwa hiyo kufikia hapo walipo sio mbaya. Ukishakaliwa ni malezi na elimu kinachofuata ni kujitegemea ndo maana huwezi kwenda mahakamani ukakuta Kesi ya Miradhi kama zipo ni chache Sana yaani hawanaga hategemei uridhiHapo pa Kaskazini ndio tatizo?
Hela ya madini ya Shinyanga inakwenda kulipa mishahara ya walimu weeengi wanaofundisha watoto wa Kaskazini wakati Shinganya kwenyewe inakochimbwa almasi hakuna shule. Eti kisa Mjerumani alijengaga tushule twingi Kaskazini, kuendelea na hii ni ujuha sawa na ujuha mwingine. Kwahiyo Bila kujua taifa lilikuwa likisomesha watoto weengi wa kaskazini kuanzia shule za msingi, sekondari, na vyuoni, hivyo kutoa ajira nyingi kwa watoto wa kaskazini ambao waliwekeza mishahara yao kwa kuendelea kuwekeza kwenye kujenga shule zaidi na zaidi hivyo taifa kuendelea zaidi na zaidi kugharamia watoto wa kaskazini zaidi na kusababisha kila sekta iajiri zaidi hao hao kwanjia ya tribolism, zonelization, n.kWivu tuu basi kaskazini walipewa elimu ya ujamaa na ya Wajerumani wakaipokea kwa mikono miwili kwa hiyo kufikia hapo walipo sio mbaya. Ukishakaliwa ni malezi na elimu kinachofuata ni kujitegemea ndo maana huwezi kwenda mahakamani ukakuta Kesi ya Miradhi kama zipo ni chache Sana yaani hawanaga hategemei uridhi
Shule zilijengwa na wazazi ndugu kwa kujitambua mapema. Plani ya shule za kata wao walianza siku nyingi sio leo ndo maana Lowassa aliliona hilo akaja na strategy hiyo ili taifa liende pamoja. Shule unazozisema ni mbili tatu Umbwe, Lyamungu na Ilibiru ni ipi tena unayoijuaHela ya madini ya Shinyanga inakwenda kulipa mishahara ya walimu weeengi wanaofundisha watoto wa Kaskazini wakati Shinganya kwenyewe inakochimbwa almasi hakuna shule. Eti kisa Mjerumani alijengaga tushule twingi Kaskazini, kuendelea na hii ni ujuha sawa na ujuha mwingine. Kwahiyo Bila kujua taifa lilikuwa likisomesha watoto weengi wa kaskazini kuanzia shule za msingi, sekondari, na vyuoni, hivyo kutoa ajira nyingi kwa watoto wa kaskazini ambao waliwekeza mishahara yao kwa kuendelea kuwekeza kwenye kujenga shule zaidi na zaidi hivyo taifa kuendelea zaidi na zaidi kugharamia watoto wa kaskazini zaidi na kusababisha kila sekta iajiri zaidi hao hao kwanjia ya tribolism, zonelization, n.k
Mtu mwenye elimu ndogo utamjua tu kwa hoja zake
Waliofanya juhudi wapo kama kina mzee kinana,nape,kikwete,wazee wa baraza la chama,. Yaani magufuli alikuepo tu lkn michezo walicheza wataalam
Mku mm ni Mmwera asili ya wazazi wangu Lindi kijijini Namupa na ukoo wa Majenea hii wazazi wangu. Kwa hiyo Mimi kama Mimi Mwanakijiji wa Mkinga ambapo nilijiunga tangu mwaka 2010.Ila Wachaga ni Shemeji zangu huko Kibosho Umbwe Kijijini cha Kombo kwa hiyo sio kila mtu ni Mchaga baada kuona ana hojaAcha kuishi kwa mazoea mlizoea kupiga kampeni ili baadae mugawane vyeo sasa hili lishaakufa wee kama huna kazi na ulitegemea uishi kijanjajanja ujipange