CCM imekuwa mali ya mtu?

Wewe si CCM ni chadema
 
mkuu katiba ya chama ni tatizo kubwa, imempa nguvu zote za kumdhibiti yeyote kwa namna yoyote. Ndiyo maana hata wanaccm tunakosa ujasiri wa kumkemea.
 
Wewe si CCM ni chadema
Hili ni tatizo kubwa sana ndani ya chama chetu ccm. Kila anayesema kweli anaitwa mfuasi wa chadema, Lowasa masalia ama Membe masalia. Tuacheni tuseme kweli daima kama katiba ya chama inavuosema. Wapi mm nimejiandika kuwa ni chadema?? Acha woga kada mwenzangu
..
 
MKUU faham kwamba mh.rais kuikana ccm co mda huu tu nakumbuka hata kwny kampen zake kaul hzo ndo zltawala na kuhusu vyeo anaamn kufanya kaz na watu walipgania ktk yy kuingia ikulu ambao ndo haohao wanaosadikka kuiharbu ccm n kupoteza mda
 
Hujui CCM wewe acha kujificha katika mgongo wa CCM wakati upo CDM! I can confirm to you that JPM amekuwa mkombozi wa CCM! Kuweza kuondoa mafisadi ndani ya chama! Unadhani nani angelipambana na aki na Madavida, Noni , Shamtes etc. Kama hujui kitu nyamaza
 
We sema polepole wakisikia wenye chama chao yatakukuta. Ndani ya CCM ni uvumilivu; jeuri ni mwiko - utii bila shuruti
 
MKUU na kuhusu vyeo anaamn kufanya kaz na watu walipgania ktk yy kuingia ikulu ambao ndo haohao wanaosadikka kuiharbu ccm n kupoteza mda
Aanzishe chama chqke basi kama hatuamini wanachama wenzake. Katiba ya nchi inaruhusu hilo. Kuliko kutumia ccm (kwa maana ya wanaccm) kama ngazi halafu anakuja kuiona haifai.
 
Huo ndiyo wajibu wa kiongozi, hata mm ningekuwa rais ningeweza kuyafanya hayo. Kwasabb rais ana vyombo vyote vya dola ili kumlinda. Hao uliowataja wana nn hadi uone kana kwamba walikuwa tishio sana?
 

Utangojea saana tu wala hilo fukuto halita furukuta. CCM ni imara kama simba
 
Utangojea saana tu wala hilo fukuto halita furukuta. CCM ni imara kama simba
Sina maslahi yoyote na fukuto bali mm kama mwanaccm naona tiendako siko. Chama ni wanachama lazima tupewe heshima na tuwe na sauti ndani ya chama. Siyo lqzima kila mwanachama spate cheo. Lkn hata serikali tu ijitambilishe kama serikali ya ccm.
 
Huo ndiyo wajibu wa kiongozi, hata mm ningekuwa rais ningeweza kuyafanya hayo. Kwasabb rais ana vyombo vyote vya dola ili kumlinda. Hao uliowataja wana nn hadi uone kana kwamba walikuwa tishio sana?
Inaonekana wewe aidha masuala haya ya siasa za TZ umeziingia juzi au ni mpinzani tu kama akina Lema! Without data don’t talk! Kukuonesha kuwa wewe unamchukia JPM kumbuka uzi wako huu Watanzania bila kujali vyama vyetu tushikamane kumdhibiti Sizonje. Vinginevyo......
 
Sina maslahi yoyote na fukuto bali mm kama mwanaccm naona tiendako siko. Chama ni wanachama lazima tupewe heshima na tuwe na sauti ndani ya chama. Siyo lqzima kila mwanachama spate cheo. Lkn hata serikali tu ijitambilishe kama serikali ya ccm.


Tulikuwaga tunasema; Chagua CCM lakini 2015 tulisema Chagua Magufuli. Sasa unataka kula matunda ya juu kwa mgongo wa mtu?? Tulia, akimaliza muhula ndipo uilete hoja yako. Kwa sasa anairudisha hishima ya chama
 
Harakati zangu za kutetea haki sijazianza leo. Kuna mqmbo baadhi anayofanya huyu rais ndani ya chama na serikalini hayahitaji kufumbiwa macho. Kama kwako kukemea uovu unaitafsiri kama chiki basi pole sana. Natamani ungeelewa maudhui ya uzi uliyo unukuu halafu ukalinganisha na huu uone kama kuna tofauti.
 
hahitajiki yeyote kukitetea chama..chama kiko imara...salama
 
Hili ni jambo la maana sana. Ninyi ndiyo mliokuwa mnakihujumu chama chetu. Sasa mumebanwa mbavu, mnaanza kulalama. Wewe ukitaka baki chamani, hutaki sepa! Chama hakiteteleki kwa porojo zako!
Mtu mwenye elimu ndogo utamjua tu kwa hoja zake.
 
Nakuona ukitumia akili zako kuliko hisia na mahaba , lakin pia nakuona ukiyaona mambo katika uhalisia wake na ukiyasema kwa uhalisia wake, wana Ccm wengi sana ni wanafiki sana sana ni watu wssio jua kukiri ukweli, wamekuwa waongo kwa kila jambo,

CCM hawaupendi ukweli tena hata kuusikia hawautaki na ninasikitika awamu hii roho ya uongo una stawi sana naninaelekea kukomaa , hadi watendaji wa serikali wamekuwa wagumu kukiri kweli , ni wapindishaji wa kila ukweli hata ule unao onekana kuwa wawazi kabisa na unao onekana bayana hakika TANZANIA NI TAIFA LA WAONGO.
 
Magufuli ni rais wa nchi lakin pia ni amiri jeshi mkuu.
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…