Sitachoka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 3,030
- 1,303
Maendeleo ya Tanzania SI kama
mechi ya soka,inayotegemea
ufundi wa wachezaji 11 na Kocha.
Na tunapoona hatuendelei suluhu
ni kutimua kocha na kusajili
wachezaji wazuri(hata kama uzuri
wao haujathibitika kwenye ligi
hii).
Maendeleo ni vita ambayo ushindi
unategemea morali ya askari hasa
wa miguu ( infantry).
Makamander na majenerali na
kupanga mipango na kuwezesha.
Na tukishindwa ni tumeshindwa
sote ,na ni wajibu wa kujipanga
upya.
Maendeleo ya nchi hii hayatakuja
kwa itikadi ya kisiasa,ingawa ina
mchango,bali kwa juhudi za kila
mTanzania mmojammoja.
mechi ya soka,inayotegemea
ufundi wa wachezaji 11 na Kocha.
Na tunapoona hatuendelei suluhu
ni kutimua kocha na kusajili
wachezaji wazuri(hata kama uzuri
wao haujathibitika kwenye ligi
hii).
Maendeleo ni vita ambayo ushindi
unategemea morali ya askari hasa
wa miguu ( infantry).
Makamander na majenerali na
kupanga mipango na kuwezesha.
Na tukishindwa ni tumeshindwa
sote ,na ni wajibu wa kujipanga
upya.
Maendeleo ya nchi hii hayatakuja
kwa itikadi ya kisiasa,ingawa ina
mchango,bali kwa juhudi za kila
mTanzania mmojammoja.