CCM IMEJIDHIIRISHA KATIKA HILI, sijui cdm, cuf, nccr, udp, sau, adc, chausta, tlp, ppt maendeleo n.k | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM IMEJIDHIIRISHA KATIKA HILI, sijui cdm, cuf, nccr, udp, sau, adc, chausta, tlp, ppt maendeleo n.k

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbaga Michael, May 18, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Maendeleo ya Tanzania SI kama
  mechi ya soka,inayotegemea
  ufundi wa wachezaji 11 na Kocha.
  Na tunapoona hatuendelei suluhu
  ni kutimua kocha na kusajili
  wachezaji wazuri(hata kama uzuri
  wao haujathibitika kwenye ligi
  hii).
  Maendeleo ni vita ambayo ushindi
  unategemea morali ya askari hasa
  wa miguu ( infantry).
  Makamander na majenerali na
  kupanga mipango na kuwezesha.
  Na tukishindwa ni tumeshindwa
  sote ,na ni wajibu wa kujipanga
  upya.
  Maendeleo ya nchi hii hayatakuja
  kwa itikadi ya kisiasa,ingawa ina
  mchango,bali kwa juhudi za kila
  mTanzania mmojammoja.
   
 2. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Mkuuu MWEA sijakuelewa kabisa ur content, enewei nadhani mind yangu haipo vizuri kabisa kwani hili lizee shibuda limeniharibia siku kabisa.

  Jamani karibu kwa mjadala huo hapo juu mi ngoja nilale 2.
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona umekuja kimafumbo zaidi funguka basi tukupate vizuri.
   
 4. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Pole sana!
   
 5. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Hapana usipende kuirahishia akili yako yote. Rudia tena.
   
 6. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Nnadhani unamaanisha wananchi Wa Tanzania wafanye kazi wasitegemee siasa(wanasiasa)ndio watakaowasaidia!?
   
 7. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  umejitahidi
   
 8. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Sina kitu leo.
   
 9. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  ahksante.
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Sijajua hapo ccm imejipambanuaje
   
 11. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hawakwambii tu ukweli sijui wanakuogopa, yaani hueleweki ulichokiandika.
  Heading na Contents ni mbingu na nchi... Lala bhana naona kiroba kimepanda juu.
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kumbe tupo kwenye chumba cha mtihani.
   
Loading...