CCM IMEJIDHIIRISHA KATIKA HILI, sijui cdm, cuf, nccr, udp, sau, adc, chausta, tlp, ppt maendeleo n.k

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Maendeleo ya Tanzania SI kama
mechi ya soka,inayotegemea
ufundi wa wachezaji 11 na Kocha.
Na tunapoona hatuendelei suluhu
ni kutimua kocha na kusajili
wachezaji wazuri(hata kama uzuri
wao haujathibitika kwenye ligi
hii).
Maendeleo ni vita ambayo ushindi
unategemea morali ya askari hasa
wa miguu ( infantry).
Makamander na majenerali na
kupanga mipango na kuwezesha.
Na tukishindwa ni tumeshindwa
sote ,na ni wajibu wa kujipanga
upya.
Maendeleo ya nchi hii hayatakuja
kwa itikadi ya kisiasa,ingawa ina
mchango,bali kwa juhudi za kila
mTanzania mmojammoja.
 
Mkuuu MWEA sijakuelewa kabisa ur content, enewei nadhani mind yangu haipo vizuri kabisa kwani hili lizee shibuda limeniharibia siku kabisa.

Jamani karibu kwa mjadala huo hapo juu mi ngoja nilale 2.
 
Mkuu mbona umekuja kimafumbo zaidi funguka basi tukupate vizuri.
 
Mkuuu MWEA sijakuelewa kabisa ur content, enewei nadhani mind yangu haipo vizuri kabisa kwani hili lizee shibuda limeniharibia siku kabisa.

Jamani karibu kwa mjadala huo hapo juu mi ngoja nilale 2.

Pole sana!
 
Maendeleo ya Tanzania SI kama
mechi ya soka,inayotegemea
ufundi wa wachezaji 11 na Kocha.
Na tunapoona hatuendelei suluhu
ni kutimua kocha na kusajili
wachezaji wazuri(hata kama uzuri
wao haujathibitika kwenye ligi
hii).
Maendeleo ni vita ambayo ushindi
unategemea morali ya askari hasa
wa miguu ( infantry).
Makamander na majenerali na
kupanga mipango na kuwezesha.
Na tukishindwa ni tumeshindwa
sote ,na ni wajibu wa kujipanga
upya.
Maendeleo ya nchi hii hayatakuja
kwa itikadi ya kisiasa,ingawa ina
mchango,bali kwa juhudi za kila
mTanzania mmojammoja.

Nnadhani unamaanisha wananchi Wa Tanzania wafanye kazi wasitegemee siasa(wanasiasa)ndio watakaowasaidia!?
 
Hawakwambii tu ukweli sijui wanakuogopa, yaani hueleweki ulichokiandika.
Heading na Contents ni mbingu na nchi... Lala bhana naona kiroba kimepanda juu.
 
Back
Top Bottom