ihs
Member
- Jul 24, 2012
- 93
- 68
Wana JF,
Kumekua na mass openings ya watu wa CCM kujinadi kwamba wamefanya makubwa sana nchi hii hasa ukijaribu kuwalinganisha na wapinzani. Wao, ccm wameendelea kudai kwamba wapinzania wanafumbia macho mambo makubwa ambayo ccm ime ya achieve katika serikali zake tatu zilizopita.
Yawezekana kweli ccm imefanya mambo mengi makubwa, hasa tukijaribu kutizama kwa kutumia macho yetu na kusikiliza kwa masikio yetu badala ya kutumia ubongo wetu wa mbele!!!
Mi binafisi naona ccm imefanya mengi makubwa ili tupime kwa kutumia nini? Nafikiri kisomi, tutumie Eco-PoLy -- yaani economic on politics sio political economy bali ni kutafuta kuona Return on Investiment [ Yaani kama ni chama , kina wabunge wangapi? Je, kinaongoza serikali? Je kimekasimiwa rasilimali za nchi?] hapo nafikiri tutaweza kujibu swali vizuri.
CCM imepewa everything, kuanzia wabunge, serikali na rasilimali za nchi!! Wapinzani wana wabunge wachache tu, nothing else!! Tunaweza tukaliweka hili katika lugha ya number....
CCM wamepewa Billion mbili [2,000,000,000/- TZS kwa mwaka!!] na wanawapatia wananchi wa tanzania million ishirini 20,000,000/- kwa mwaka!! Wapinzania wamepewa million mbili 2,000,000/- kwa mwaka na wanawapatia wanachi laki mbili 200,000/- kwa mwaka!!
Ukijaribu kuangalia kwa haraka haraka na kwa kutumia macho, utaona kwamba ni kweli CCM inafanya makubwa kwa kuweza kuwapa wananchi million ishirini 20,000,000/- kwa mwaka!! ukilinganisha na shilingi laki mbili 200,000/- za wapinzani!! Ila ukienda mbali zaidi utakuta kwamba ccm wamekasimiwa zaidi ya billion mbili 2,000,00,000/- mwaka na wao wanatoa ROI [return on Investiment ya million 20 tu] hii ni sawa na asilimia oja tu 1%. Ukija kwa upinzani utakuta kwamba kwa kutumia macho, wanatoa kiasi kidogo sana kwa wananchi, laki mbili tu kwa mwaka lakini ukiangalia zaidi utakuta walikasimiwa million mbili tu kwa mwaka, hii ni sawa na ten percent 10% return on Investiment!!!
Ni kweli CCM inafanya makubwa, lakini swali ni Je, CCM imepewa investiments kiasi gani kudeliver wanacho deliver?? Ni rahisi kuwadanganya wanachi kwa kutumia wingi tu wa ulichokitoa kulinganisha na mweznzio, lakini kisom na kitaalamu --- it is not a realistic scenario at all!!
Kwa wale wanasisa wa ccm mnaosema ccm imefanya makubwa, mjijibu kwa kutumia Rerurn on Investiments techniques na sio wingi!!! Mnaendelea kudanganya wananchi, sio jambo jema kwa sababu wakija kupata akili watawalipizia kwa makubwa !!!!