CCM imechanganyikiwa?

Lowasa kafuta agenda uchwara nyingi za Michadema baada ya kuungana na wazalendo
 
kwahiyo Mugisher unataka kunipangia cha kuandika? Mbona heading iko wazi kabisa? Kama una wazo mbadala au unapingana na nilichoandika.. Jenga hoja yenye mashiko sio kuanza kuniambia ningeandika hivi ama vile
Kaka nikatika kukufanya uwe the BEST katika kile (makala) unachofanya ndugu yangu. Si zaidi ya hayo. Inamake sense pia kuwaanagalia hawa wanachama wanohama. Ni wa aina gani..na hawa ndio wako wengi mno. Kumbuka jamii yetu ni ya watu wanafiki sana. Huu mlengo watu wengi hawautaki kuuangalia.
 

Ndoto
 
Mmeshapotea njia.Siku hizi hakuna agenda ya msingi tutakayoisikia kutoka kwenu ni vijembe na, kashfa na malalamiko tu.

Naomba niwekee kipengele cha Ilani yenu kinachosema Mtapigia kelele ununuaji wa wanachama wa kisiasa kutoka CDM kwenda CCM na kutoka CCM kwenda CDM.
 
Weka hakiba ya maneno maandishi hayafutiki
 
Wewe nawe umechanganyikiwa ni wakuonewa huruma hujui sio Kila Raisi ni raisi wengine madikteta na wakiuka sheria sio WA kuchekewa Ni wakupingwa na kila mwananchi
 
 
Kama ccm imechanganyikiwa, basi ukawa tena hasa chadema ndio watakuwa wamedata kabisaa!!
 
Badala ya kuimarisha Hali ya kiuchumi ndiyo Kwanzaa una dorola
 
Lowasa Chadema alishawishiwa kwa kitu gani? Hivi treatment aliopewa Lowasa Chadema ni sawa Sumaye?, Sumaye amekua waziri Mkuu miaka kumi, lakini hata ujumbe wa kamati kuu amjampa, Lowasa amepewa wabunge wa viti maalum, Lakin Sumaye Kimya.. Sijui Sumaye anajisikiaje
 
daah!!
 
Kukemea hili lazima tuwe watu wa sala, kufunga na kuomba wokovu wa Mungu kwani haya ni mapambano dhidi ya shetani kwani hata mbinu ni zile za kishetani kabisa kama maandiko yanavyosema.
 
Maneno yaleyale,kauli zilezile, watu walewale, 5likes zilezile na ofisi ileile.

Je hapo nani kachanganyikiwa hapo kati ya CCM na chagadema?
 
Maneno yaleyale,kauli zilezile, watu walewale, 5likes zilezile na ofisi ileile.

Je hapo nani kachanganyikiwa hapo kati ya CCM na chagadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…