CCM imechanganyikiwa?

Naomba wale wote wananchi ambao itikadi yetu ya upinzani ni IMANI au tunaopenda demokrasia tusife moyo na tusiwaamini hawa wanasiasa vigeugeu,yaan mtu anaongea mpaka unaemsikiliza unaona aibu
Upinzani unatakiwa kuwa na msimamo..sio kubadili gia na kula matapishi kila baada ya dk 5 vinginevyo hakuna kitu. Hii ya Lema, Mbowe na Lowassa iwe funzo tosha.
 


CCM si chama , hilo ni genge la Mafia , haya uliyoyaandika ni kumpigia mbuzi gitaa
 

 
Time will tell brother!... Let's just wait an see!

Ila kwa sasa mnaweweseka kutafuta mchawi wakati DJ anawasokota taratibu.
The one you classify him as DJ is far better a hundred thousand times than you and your whole clan... And I stand to be correct
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…