mkalli JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 225 Reaction score 18 Aug 16, 2014 #21 thatha said: Ishukuru sana CCM, bila yenyewe usingekuwa unaitwa mtanzania. Click to expand... Kwa uoni wako unadhani hata najivunia kuwa Mtanzania? Mi nina Nchi yangu nikisikia unaitaja hata Moyo hua una pamp damu vizuri tu (ZANZIBAR)
thatha said: Ishukuru sana CCM, bila yenyewe usingekuwa unaitwa mtanzania. Click to expand... Kwa uoni wako unadhani hata najivunia kuwa Mtanzania? Mi nina Nchi yangu nikisikia unaitaja hata Moyo hua una pamp damu vizuri tu (ZANZIBAR)
C Cybercrime JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 3,246 Reaction score 1,113 Aug 16, 2014 #22 kimbawala said: Magamba Qushney! Click to expand... don't copy and paste
C Cybercrime JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 3,246 Reaction score 1,113 Aug 16, 2014 #23 mkalli said: Kwa uoni wako unadhani hata najivunia kuwa Mtanzania? Mi nina Nchi yangu nikisikia unaitaja hata Moyo hua una pamp damu vizuri tu (ZANZIBAR) Click to expand... Bila Tanzania hakuna ZANZIBAR, kuna unguja na Pemba, sasa niambie wewe ni Unguja au Pemba?
mkalli said: Kwa uoni wako unadhani hata najivunia kuwa Mtanzania? Mi nina Nchi yangu nikisikia unaitaja hata Moyo hua una pamp damu vizuri tu (ZANZIBAR) Click to expand... Bila Tanzania hakuna ZANZIBAR, kuna unguja na Pemba, sasa niambie wewe ni Unguja au Pemba?
C Cybercrime JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 3,246 Reaction score 1,113 Aug 16, 2014 #24 mkalli said: CCM ipi ilomkomboa Mtanzania? Masikini ASP yangu hata hutambuliki tena na kizazi hiki cha Nape.. Click to expand... hujui hata tofauti kati ya CCM na ASP
mkalli said: CCM ipi ilomkomboa Mtanzania? Masikini ASP yangu hata hutambuliki tena na kizazi hiki cha Nape.. Click to expand... hujui hata tofauti kati ya CCM na ASP
C Cybercrime JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 3,246 Reaction score 1,113 Aug 16, 2014 #25 kimbawala said: Jibu unalo..."Magamba" Click to expand... kumbe unajuae
mkalli JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 225 Reaction score 18 Aug 16, 2014 #26 Cybercrime said: Bila Tanzania hakuna ZANZIBAR, kuna unguja na Pemba, sasa niambie wewe ni Unguja au Pemba? Click to expand... Na bila UNGUJA NA PEMBA huo utanzania unaojivunia wewe unautoa wapi?
Cybercrime said: Bila Tanzania hakuna ZANZIBAR, kuna unguja na Pemba, sasa niambie wewe ni Unguja au Pemba? Click to expand... Na bila UNGUJA NA PEMBA huo utanzania unaojivunia wewe unautoa wapi?
mkalli JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 225 Reaction score 18 Aug 16, 2014 #27 Cybercrime said: hujui hata tofauti kati ya CCM na ASP Click to expand... CCM-Chama CHa Mapinduzi Ndani ya Mapinduzi.
Cybercrime said: hujui hata tofauti kati ya CCM na ASP Click to expand... CCM-Chama CHa Mapinduzi Ndani ya Mapinduzi.
T T TRUTH Member Joined Apr 22, 2013 Posts 89 Reaction score 10 Aug 17, 2014 #28 chadema watu ni walewale wezi wale wale wa bank kuu ndio wale wale wanao ongelea utetezi wa wanainch tuache kudanganyana ccm chama kubwa
chadema watu ni walewale wezi wale wale wa bank kuu ndio wale wale wanao ongelea utetezi wa wanainch tuache kudanganyana ccm chama kubwa
Mantissa JF-Expert Member Joined Jul 24, 2010 Posts 876 Reaction score 168 Aug 17, 2014 #29 MSALANI said: Mtu yeyote anayeikashifu CCM lazima kichwani hayuko sawa. CCM imemkomboa mtanzania kutoka makuchani mwa mkoloni, leo hii ukiitukana unajitakia laana! Click to expand... vipi kuhusu TANU umepata uhuru1977?
MSALANI said: Mtu yeyote anayeikashifu CCM lazima kichwani hayuko sawa. CCM imemkomboa mtanzania kutoka makuchani mwa mkoloni, leo hii ukiitukana unajitakia laana! Click to expand... vipi kuhusu TANU umepata uhuru1977?
C chatto Member Joined Jan 10, 2014 Posts 21 Reaction score 1 Aug 17, 2014 #30 Ccm ilizaliwa baada ya kufa TANU na ASP, ,sasa ccm ipo icu hakuna matumaini tena.Sasa ni Ukawa .
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,695 Reaction score 830,696 Aug 17, 2014 #31 kababu said: Vila ccm usingeweza hats kupost thread yako Click to expand... Acha kutisha watu wewe
L lupe JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 5,656 Reaction score 218 Aug 17, 2014 #32 MSALANI said: Mtu yeyote anayeikashifu CCM lazima kichwani hayuko sawa. CCM imemkomboa mtanzania kutoka makuchani mwa mkoloni, leo hii ukiitukana unajitakia laana! Click to expand... Wewe kweli ni mwehu... kijana yoyote anaye ishabikia magamba akiwa mzee atakuwa mchawi. ..sasa inavyoonekana wewe ukisha zeeka utakuwa mchawi
MSALANI said: Mtu yeyote anayeikashifu CCM lazima kichwani hayuko sawa. CCM imemkomboa mtanzania kutoka makuchani mwa mkoloni, leo hii ukiitukana unajitakia laana! Click to expand... Wewe kweli ni mwehu... kijana yoyote anaye ishabikia magamba akiwa mzee atakuwa mchawi. ..sasa inavyoonekana wewe ukisha zeeka utakuwa mchawi