CCM ilizaliwa tar 3/2/1977

CCM ilizaliwa tar 3/2/1977

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Posts
4,879
Reaction score
1,134
CCM leo inatimiza miaka 36 baada ya kuzaliwa tar 5.2.2013.
Ninajiuliza ni hofu gani iliyokishika chama kilichokwisha kuvunja ungo kuogopa kufikisha siku ya kuzaliwa.
Wadau na wanaCCM naombeni mnisaidie hapa.
 
Wewe ndio walewale!!!!!!!!!!
Badala ya kusikiliza taarifa zilizotolewa na wahusika, wewe unatengeneza taarifa yako halafu unajiuliza swali kutoka kwenye taarifa hiyohiyo uliyotengeneza mwenyewe. Haya jijibu basi...
 
Kikwete anasema kuwa nawanachama wenye uelewa mdogo nijanga lakitafa,sasa wadau ni chama kipi cha siasa hapa tz katiya ccm na vyama vyaupinzani chenye wanachama wenye uelewa mdogo?
 
Wewe ndio walewale!!!!!!!!!!
Badala ya kusikiliza taarifa zilizotolewa na wahusika, wewe unatengeneza taarifa yako halafu unajiuliza swali kutoka kwenye taarifa hiyohiyo uliyotengeneza mwenyewe. Haya jijibu basi...
Jibu hoja, maana inashangaza, hamjui maana ya Birthday? Leo mnasherehekea nini? Pre birthday! Mwenyekiti dhaifu sana hata tarehe?
 
Hivi kweli mantiki ya wao kuadhimisha leo tar 3 ni nini?
Tangu nikiwa mdogo najua ni tar 5 february 1977
 
Labda Wameagizwa na sangoma wao wakigeuza tarehe mikosi haita waandama pamoja na mzuka wa Mwalimu! Kuwasumbua! Teh! teh ! Teh! Mawazo yangu jamani!
 
Anaelewa ni kwanini hizo sherehe zimefanyika leo atueleweshe kwani wengine hatukupata nafasi ya kufuatia hotuba maisha ni magumu hakuna cha weekand
 
mi nimeshangaa leo napita mbezi mwisho barabarani foleni kubwaa kumbe wanafanya maandamano kusherekea kuzaliwa kwa maccm. nikakumbuka kuwa mbona ilizaliwa tar 5 feb 77?

viwanja vya wazi kibao eneo la mbezi mwisho lkn wameamua kufanyia barabarani pale kituo cha zamani cha daladala. wamesababisha foleni isiyo na msingi bure.
 
Magamba wamepoteza kumbukumbu kabisa,vipi Kinana anasemaje au yuko busy na biashara ya kusafirisha pembe za ndovu?
 
Magamba wamepoteza kumbukumbu kabisa,vipi Katibu mkuu anasemaje au yuko busy na biashara ya kusafirisha pembe za ndovu?
 
Labda Wameagizwa na sangoma wao wakigeuza tarehe mikosi haita waandama pamoja na mzuka wa Mwalimu! Kuwasumbua! Teh! teh ! Teh! Mawazo yangu jamani!
 
Tutasikia na kuona maajabu mengi mwaka huu tusishangae siku ya uhuru pia inaweza kufanyika kabla ya 9 dec.
 
CHADEMA tuifanye siku ya tar 5.2 kuwa ni kumbukumbu ya nipe fagio la chuma ili kufagia m,afisadi.
kwa sababu wameitelekeza kwa hisia kuwa ndiyo ina nuksi na inasababishwa wachukiwe.
 
Wewe ndio walewale!!!!!!!!!!
Badala ya kusikiliza taarifa zilizotolewa na wahusika, wewe unatengeneza taarifa yako halafu unajiuliza swali kutoka kwenye taarifa hiyohiyo uliyotengeneza mwenyewe. Haya jijibu basi...

ze marco umenifurahisha sana kwa kufukia kichwa kwenye mchanga kama mbuni.
ina maana hata wewe umepoteza kumbukumbu ya kuzaliwa chama.
 
Ccm leo inatimiza miaka 36 baada ya kuzaliwa tar 5.2.2013.
Ninajiuliza ni hofu gani iliyokishika chama kilichokwisha kuvunja ungo kuogopa kufikisha siku ya kuzaliwa.
Wadau na wanaccm naombeni mnisaidie hapa.
wameamua kubadilika mwaka huu kwa sababu ccm wengi ni waajiriwa wameona ni bora wafanye sherehe weekend ili siku ya tarehe 5 ambayo itaangukia siku jumanne watu waende kazini kama kawaida. nawasifu kwa hili kwa kuamua kuijenga nchi kwa vitendo.
 
Hivi kweli mantiki ya wao kuadhimisha leo tar 3 ni nini?
Tangu nikiwa mdogo najua ni tar 5 february 1977
"Kuzaliwa kwa chama kipya tarehe tano mwezi wa pili sabini na saba ehee mungu kipe baraka" nimenukuu wimbo ambao nilikuwa nausikiliza wakati mdogo iweje magamba wanasherekea tar 3? Maumivu ya kichwa uanza taratibu
 
Back
Top Bottom