CCM ilipigwa na mshituko mzito January mwaka huu baada ya pandikizi lao muhimu walilokuwa wanalitegemea (Mbowe) kun'golewa CHADEMA

CCM ilipigwa na mshituko mzito January mwaka huu baada ya pandikizi lao muhimu walilokuwa wanalitegemea (Mbowe) kun'golewa CHADEMA

Kiweli

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
137
Reaction score
115
CCM ilishajifia kitambo tangu mwaka 1995 ilizoea kushinda kwa kutumia vyombo vyao vya Dola na kupandikiza mimamluki mi Double Agents.

Kwenye vyama vikubwa vya upinzani nchini pamoja na kusajili vikaragosi vyao 17 CCM inavyoviita ni vyama vya upinzani. Vinavyolindwa na tume ya uchaguzi inayoteuliwa na mwenyekiti wa CCM ambae pia ni mgombea Urais CCM.

 
CCM ilishajifia kitambo tangu mwaka 1995 ilizoea kushinda kwa kutumia vyombo vyao vya Dola na kupandikiza mimamluki mi Double Agents. Kwenye vyama vikubwa vya upinzani nchini pamoja na kusajili vikaragosi vyao 17 CCM inavyoviita ni vyama vya upinzani.Vinavyolindwa na tume ya uchaguzi inayoteuliwa na mwenyekiti wa CCM ambae pia ni mgombea Urais CCM.
Huyu Bashiru sijui ni nini kilimpata. Ila mimi bado naona ni kati ya watu wachache wenye uwezo ndani ya CCM.
 
Back
Top Bottom