hawa jamaa wanafungua kesi hovyo hovyo tu kwa kutumia fedha za wananchi walizopiga kifisadi wapuuzi kweliMkurugenzi wa Manispaa sio mbumbumbu. Kabla ya kufanya hivyo amechambua kwa makini hoja za pande zote kwenye suala hili la ushiriki wa wajumbe kwenye uchaguzi huu.
ni mtoto wake kweli? ujue ukitafakari kwa umakini utajagundua hii nchi inaendeshwa na ukoo wa watu kadhaa na marafiki wa hizo ukooAsaa Simba mtoto wa Sofia Simba?! Like son like mother! Kachelewa wiki!!??
somehow ccm wanafanya lisilowezekana mbele ya wengi liwezekane, umesahau arusha 2011 na tanga 2016?Huyo asaa simba gajui hata hesabu za kujumlisha wao walikua 19 na hao nane waliozuiliwa unapata 27 ukawa wamepata kura 31 .sasa kesi ya nn hapo si anajitafutia deni la garama ya kesi!
Hivi hawa ndugu zetu kwanini hawataki kukubali tu kwamba wameshindwaHayo yamebainishwa na Mwenyekiti wake wa Wilaya hiyo Asaa Simba aliponukuliwa na gazeti la mwananchi.
Amesema wapo kwenye mchakato wa kumburuza mahakamani Mkurugenzi wa manispaa hiyo Isaya Mngurumi.
Akiendelea kufunguka zaidi Simba alisema mojawapo ya sababu zilizosababisha wakagomea uchaguzi huo ni kuzuiliwa wabunge wanane wa viti maalum wakiwemo waliotoka mikoa ya Zanzibar.
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wake wa Wilaya hiyo Asaa Simba aliponukuliwa na gazeti la mwananchi.

wazanzibari na uchaguzi wa meya ILALA wanauhusiano gani hapo?Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wake wa Wilaya hiyo Asaa Simba aliponukuliwa na gazeti la mwananchi.
Amesema wapo kwenye mchakato wa kumburuza mahakamani Mkurugenzi wa manispaa hiyo Isaya Mngurumi.
Akiendelea kufunguka zaidi Simba alisema mojawapo ya sababu zilizosababisha wakagomea uchaguzi huo ni kuzuiliwa wabunge wanane wa viti maalum wakiwemo waliotoka mikoa ya Zanzibar.
wakubali tu kama EDO alivokubaliKwa kauli zao na matendop yao,Mshana Jr ana haki ya kuongea alichoongea.Wakati mwingine mkubali kushindwa.
au wanataka kufanya kama aliyofanya JECHA???Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wake wa Wilaya hiyo Asaa Simba aliponukuliwa na gazeti la mwananchi.
Amesema wapo kwenye mchakato wa kumburuza mahakamani Mkurugenzi wa manispaa hiyo Isaya Mngurumi.
Akiendelea kufunguka zaidi Simba alisema mojawapo ya sababu zilizosababisha wakagomea uchaguzi huo ni kuzuiliwa wabunge wanane wa viti maalum wakiwemo waliotoka mikoa ya Zanzibar.
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wake wa Wilaya hiyo Asaa Simba aliponukuliwa na gazeti la mwananchi.
Amesema wapo kwenye mchakato wa kumburuza mahakamani Mkurugenzi wa manispaa hiyo Isaya Mngurumi.
Akiendelea kufunguka zaidi Simba alisema mojawapo ya sababu zilizosababisha wakagomea uchaguzi huo ni kuzuiliwa wabunge wanane wa viti maalum wakiwemo waliotoka mikoa ya Zanzibar.
Hapo anayetakiwa kuburuzwa mahakani ni Mh. Simbachawene, maana yeye ndo aliagiza kuwa wanaotakiwa kushiriki katika uchaguzi wa mameya wawe wanatokana na jimbo husika na sio vinginevyo. Tena akasisitiza kuwa atakaekwenda kinyume na agizo lake hilo kibano kinamngoja.Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wake wa Wilaya hiyo Asaa Simba aliponukuliwa na gazeti la mwananchi.
Amesema wapo kwenye mchakato wa kumburuza mahakamani Mkurugenzi wa manispaa hiyo Isaya Mngurumi.
Akiendelea kufunguka zaidi Simba alisema mojawapo ya sababu zilizosababisha wakagomea uchaguzi huo ni kuzuiliwa wabunge wanane wa viti maalum wakiwemo waliotoka mikoa ya Zanzibar.
hawawezi kuja wana miezi 3 book 7 zao hawajalipwa hata mwezi mmoja! chezea Lumumba weye!
au wanataka kufanya kama aliyofanya JECHA???
Inawezekana sana hawakusilikia agizo la WaziriDuuuh wazanzibar tena????
Kosa Kubwa walilolifanya CCM ni kumuacha Isaya Mgulumi asimamie uchaguzi huo,walipaswa wamwite jecha aje asimamie huo uchaguzi,ccm chini ya jecha hakuna kushindwa,ni ushindi tu,wakishindwa uchaguzi unafutwa na matokeo yake yote.
Tukisema kuwa mwanachama wa ccm unapaswa uwe Taahira watu wanabisha,sasa wabunge wa Zanzibar wanaingiaje katika Halmashauri za Dar?Ni aibu na fedheha sana kujiita mwanaccm mbele ya jamii ya wastaarabu,aibu sana.Halafu watu wakisema Ukweli Nape anakimbilia kufungia Gazeti na Policcm wanakutafuta wakuweke korokoroni.
Sasa kama umeya unawatoa roho,mtatuaminisha vipi kuwa Magufuli ni mshindi halali wa Urais?Ni vigumu kwa Mwenye akili timamu kuiamini NECCCM eti ilikuwa huru na aliyetangazwa ni mshindi halali.
Ha! Ha! Haaaa !!!!!Daah!! Kwa faida ya JF tufahamishe sehemu gani Tanzania kuna wapiga kura matajiri.