CCM Ilala yapinga uchaguzi wa Meya

Hivi ulikuwa ni uchaguzi wa meya wa wilaya ya ilala au makunduchi?hao watu wana akili kweli?kabla ya kumshitaki huyo mkurugenzi wamshitaki kwanza simbachawene
 
Tunakuomba Mh Asaa Simba uje ujibu hii .

Huyu ASAA SIMBA , kiuhalisia ni mpemba, alafu hata form four hakufika, napata taabu leo hii kusikia ni mwenyekiti wa CCM katika kundi hilo.
ili hali mtaa wake wa vinginguti ni majanga katika usafi.
 
Mkuu umenena ukweli mtupu
 

Wabunge wa viti maalumu , watapiga kura kumchagua meya wa eneo ambalo wao walichukulia form za kugombea ubunge huo, na sio vinginevyo
 
Sababu:Kuzuiliwa wabunge wanane wa viti maalumu wa Zanzibar.?????? Kupiga Kura Umeya ILALA???
 
Huyu ASAA SIMBA , kiuhalisia ni mpemba, alafu hata form four hakufika, napata taabu leo hii kusikia ni mwenyekiti wa CCM katika kundi hilo.
ili hali mtaa wake wa vinginguti ni majanga katika usafi.
lakini si chotara
 
Kwa uchaguzi wa Muungano au unajifanya uelewi?
Jecha alifuta matokeo ya uchaguzi Wa Zanzibar tu.
ulisimamiwa na nani ? na je kulikuwa na vyumba tofauti vilivyotumika kati ya wa muungano na wa zanzibar ? na je kulikuwa na wapiga kura tofauti kati ya wale wa kura za zanzibar na wale wa Muungano ?
 
ulisimamiwa na nani ? na je kulikuwa na vyumba tofauti vilivyotumika kati ya wa muungano na wa zanzibar ? na je kulikuwa na wapiga kura tofauti kati ya wale wa kura za zanzibar na wale wa Muungano ?
Najibu maswali yako kama ifuatavyo
1: ulisimamiwa na NEC chini judge Lubuva.

2: kuepusha usumbufu vyumba vilivyotumika vilikuwa sawa isipokuwa mawakala pamoja na masanduku yalikuwa tofauti kabisa. Wa NEC huku wa ZEC kule.

3: wapiga kura ni walewale ila theme zilikuwa mbili tofauti kabisa.
i. Rais wa Muungano "Tanzania"
na wabunge wake.
ii. Rais wa Zanzibar na wajumbe
wa baraza la wawakilishi.

NB: kwa kuzingatia kipengele Namba 3 hapo juu, haiwezekani wapiga kura walewale kwa idadi lkn upande mmoja uwe sawa kitakwimu afu upande mwingine wazidi idadi iliyoandikishwa.

Hackers completed their mission but at last minute was aborted.
 
ushahidi wa unachokiandika hata jecha ameshindwa kuthibitisha mpaka dk hii , hii ni propaganda iliyofeli kabla haijasambaa .
 

Daa hii kali waliotoka mikoa ya Zanzibar, mhurumie huyo Simba na chama chake hawa watu wamevurugwa !!!!!!!!!!!!!!
 
Mshana mie nina ombi binafsi.....hamna kitu naweza nikakifanya hiki chama kipotee???! Kupitia yale mambo yetu yaleeeeeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tusubiri jibu,lakini na mashaka kuwa kama itawezekana maana huko chamani ndio wamejaa magwiji watupu.
Pia angalia wasije mjaribu mshana jr bure kwa vile atatoa wazo. Ingawa namwa minia yuko fiti
 
kweli maCCM wanaanza kuchizi sasa, na akili zao zinaanza kuwa za nyumbu. Yaani wameshasahau alietoa katazo la wabunge wa ccm toka Zanzibar kushiriki chaguzi za Mameya ni Waziri George Simbachawene.

Nilitegemea wakaanza kudeal na waziri wao kwanza
 

Asaa Simba mtoto wa Sofia Simba?! Like son like mother! Kachelewa wiki!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…