Uchumi wa Tanzania kwa sasa sehemu kubwa uko chini ya sekta binafsi sio serikali
Na ndio walipa kodi wakubwa kodi ya kuendesha nchi na kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali
CCM iko vizuri inakubalika kwa wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa ushahidi michango waliyochangia ni ushahidi tosha kuwa wanaridhika na sera za biashara na uwekezaji mkubwa nchini
Piani ushahidi wa wao kuunga mkono kuwa uchaguzi october uwepo na kampeni watashiriki na october wanatiki mitano tena kwa Mama na CCM
Malofa Mnaosema No election imekula kwenu .Matajiri wakubwa wanasema election ipo
Na ndivyo inavyotakiwa