CCM iko Mahututi Igunga, inalazimisha Kukohoa!


hii haina uhusiano na tunachojadili hapa ipeleke kule kule kwenye mihadhara yao; it's none of our business hata wakitoa siku moja haimhusu mtu yeyote . Kama wakitaka wakahudhurie kesi mahakamani wampe hili tamko hakimu anayeshughulikia kesi
 
hao ccm waangali wakati wanakohoa wasitoe ushuzi
 
Kama CCM iko mahututi mbona Magwanda wanaendelea na Kampeni si wange subiri siku ya kupiga kura? Peleka huko propaganda zako za kishamba
 

kama umma umeamua kubadilika, watazilinda kura zao no one atakaye ziiba.
 


Badala Watu Kujadili namna ya kuikomboa Tanzania Yetu Yenye Kila aina ya Neema ambayo Umasikini umetanda kila kona, Watu wanajadili Mavazi!! Duh Yaani Tumechoka kufikiri Hivi!! Eeh Mungu Leta Neema yako Ukomboe Watu wako waliochoka Kufikiri
 

Nimesoma hii habari hapa napatwa na woga kidogo hasa TANZANIA tunaelekea wapi? hawa si dhani kama wanaunua kweli Uislam si dhani nadhani wanatumiwa. Na KIKWETE Kama ujawa makini na huu UDINI uliouanzisha utawatafuna hakiaka. Hivi yule mbunge wa CUF akuzalilishwa yule kulala jela moja na minjemba, kupekuliwa na polisi wa kiume inasikitisha sana pendeni kwa haki na msijeonekana uislamu wenu unamatatizo inasikitisha sana jamani sisi tu wamoja inakuwaje hili likabebewa bango hivi wakati mtu anakosa?
 
Hii inatia huruma sana na inasikitisha sana kwa watanzania kujadili mabo yasiyo na msingi kama mavazi, kisa umelipwa inauma sana tutapata kweli maendeleo kwa mtaji huu kweli
 
Sijajua sasa huyu mkuu wa Wilaya angekutwa anamme wa mtu halafu akakung'utwa na hijab ikadondoka naye hawa jamaa napo wangesema ameonewa!! Bora uwe na busara kuliko kuwa bogus kiasi hiki.
 
Ni heri kufa kuliko kuwa CCM,CCM imeoza,haifai tena,ni ya majambazi.
 
na wewe umempa siku ngapi mkeo aache kukusaliti na watu ulio karibu nao??
 

Elimu kwako wewe unamaanisha nini ? lugha, herufi, maandishi, ujuzi au?
 

Badala Watu Kujadili namna ya kuikomboa Tanzania Yetu Yenye Kila aina ya Neema ambayo Umasikini umetanda kila kona, Watu wanajadili Mavazi!! Duh Yaani Tumechoka kufikiri Hivi!! Eeh Mungu Leta Neema yako Ukomboe Watu wako waliochoka Kufikiri
kisongo = rectum in our language, challenge me
 

wameona igunga tu? qbar, jolly club, ohio street, rozana, uswazi nguo hiyo macd waifanya vazi la biashara! tuache unafiki! kama wao mashababi huyo mama angestahili bakora. kwanza kwa aliye muislamu safi haiwezekani mkewe afanye kazi kama hizo. wapi mtume kaelekeza mwanamke awe Dc? msomeeni itkafu aliye kufuru kumteua mwanamke wa kiislamu kuwa dc! nyie vipi?
 
mkuu habari yako umeandika kishabiki sana mpaka inakosa mvuto. Mods ipeleke kwenye jukwaa la jokes. Non sense thread
 
Tatizo la kuchangia mawazo ukiwa unakata gogo. Pole, ukimaliza kukata gogo rudia kuandika.
 
huo udini utawamaliza, wabunge arusha walidhalilishwa hamkuona, mbunge tabora kadhalilishwa hamjaona, dc amekamattwa akifanya uhalifu mnasema kadhalilishwa, kwani mhalifu anapokamatwa anatakiwa abebwe kama bibi harusi, aibu kwenu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…