CCM kutumia helkopita-Uthibitisho Tosha wa kushindwa kujenga Barabara Igunga

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreatThinkers,
Nadhani ukiwauliza viongozi CDM swali- Kwa nini mnatumia Helkopta ktk kampeni?Jibu litakuwa- hii ni kutokana na serikali ya CCM kushindwa kuweka barabara hasa maeneo ya vijijini hivyo kuna maeneo ambayo ni magumu kufikika kiurahisi.

swali hilo hilo naomba waulizeni hao CCM waliotawala nchi hii kwa miaka takribani 50, kwa nini wanatumia helkopta, naamini hawana jibu. Watajikanyaga kanyaga.
Tathmini yangu ni kuwa wameshindwa kuweka miundo mbinu ya bara bara kwa watanzania ndio maana leo hii Igunga wanaenda kutumia helkopta.

Nawasilisha
 
Hili nalo neno Kashindye anaweza kutumia kwenye kampeni zake kuhusu ubovu wa barabara.
 
Back
Top Bottom