CCM ni hatari sana.Mbinu zinazotumiwa na CCM kuitawala Tanzania hazitoutiani sana na zile zilizokuwa zikitumiwa na makaburu na Wakoloni dhidi ya waafrika. Katiba, tume ya uchaguzi, ajira mbalimbali na teuzi vyote vinazingatia kuibakiza CCM madarakani watu wapende wasipende, Waichague au waikatae, wanaCCM na wasiokuwa CCM wanafahamu hivyo.
Hali hii ni HADI LINI?
Ukoloni mweusi ni mbaya kuliko wa kizunguMbinu zinazotumiwa na CCM kuitawala Tanzania hazitoutiani sana na zile zilizokuwa zikitumiwa na makaburu na Wakoloni dhidi ya waafrika. Katiba, tume ya uchaguzi, ajira mbalimbali na teuzi vyote vinazingatia kuibakiza CCM madarakani watu wapende wasipende, Waichague au waikatae, wanaCCM na wasiokuwa CCM wanafahamu hivyo.
Hali hii ni HADI LINI?
Ya kuingia na kura kwenye vikapu na kupiga kura siku moja kabla kama alivyofanya magufuliHaki ipi?
Chadema ni ccm BMachafuko tu ndio njia pekee ya kutoa hilo chama chakavu lenye mizizi ya kijamaa. Usitegemee chama kilichopoteza ushawishi huku kikiwa kimekaa madarakani muda mrefu kutenda haki.
Hao jamaa ni zaidi ya wakoloni maana mkoloni mweupe shida yake ni raslimali ila CCM lengo lao ni madaraka na mali bila kujali vinapatikanaje.Uroho wa CCM ni zaidi ya mzee fisi.Mbinu zinazotumiwa na CCM kuitawala Tanzania hazitoutiani sana na zile zilizokuwa zikitumiwa na makaburu na Wakoloni dhidi ya waafrika. Katiba, tume ya uchaguzi, ajira mbalimbali na teuzi vyote vinazingatia kuibakiza CCM madarakani watu wapende wasipende, Waichague au waikatae, wanaCCM na wasiokuwa CCM wanafahamu hivyo.
Hali hii ni HADI LINI?
Kwa manufaa ya CCM A?Chadema ni ccm B
Atc wazalendo ni ccm c
Nccr mageuzi ni ccm d
Chama cha mrema ccm e nk
Tulia kijana kazi iendelee.
Manùfaa ya watanzania wote😁Kwa manufaa ya CCM A?
Sio Siri kwa Kila mtu kuwa CCM inasomba watu kwenda kwenye mikutano ya kampeni. Wao wanajua na wengine wanajua. Sio siri kuwa kura zinaibwa, wao wanajua na watu wanajua pia. Inafahamika kuwa wagombea wa upinzani wanaenguliwa makes usudi, wao wanajua na wengine wanajua piaYa kuingia na kura kwenye vikapu na kupiga kura siku moja kabla kama alivyofanya magufuli
Za kuandikisha wanafunzi kama wapiga kura.
Za kutumia TISS/ POLICCM kulinda ushindi.
Za kugawa makofia kwa wasabi
Za kununua na kuzuia vyombo vyote vya habar hasa TV zisiatangaze wengine hasa wakati wa kampein