TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,878
- 5,765
Mtaisoma namba.
Hii tabora ambayo madiwani wote wamehamia upinzani nayo umeiweka
Hii tabora ambayo madiwani wote wamehamia upinzani nayo umeiweka
Sio kila unachokisia unakimeza kama kilivyo, hamna diwani aliyehamia upinzani Tabora.
ngudengude tathmini yako ni ovyo kabisa. Political popularity ya Lowassa ni mara nne zaidi ya Magufuli, Political influence ya UKAWA kwa sasa ni mara mbili zaidi ya CCM.
Mpaka sasa CCM wanajua fika kuwa Magufuli hana ubavu wa kuibeba CCM na CCM ndio ina haha kutwa kumbeba Magufuli. Kikwete anajaribu kila mbinu ili kumpa Magufuli Political Platform ya kupata Promotion, lakini wapi, hakuna kitu.
Juzi Kikwete na mkewe ilibidi wamsindikize kuchukua fomu na jana wakaandaa Sherehe na wasanii wa bongo ili Kikwete na Magufuli wawepo katika kujenga influence.