Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,643
- 26,275
Kama unaona muuliza swali ataandaliwa Basi nakushauri uende wewe uulize swali lolote siku mh Rais akipita eneo lako, halafu uone Kama utakosa majibu ya kutosha, maswali gani yaishinde Taasisi ya Urais kuyajibu, Hivi kwa fikra zako Kwamba Rais akose majibu yaulizwayo na wananchi, Embu yaweke hapa hayo maswali tuyaone maana hapa wanapita viongozi wetuNi bora hata asiulizwe maana hata akiulizwa ataulizwa na mtu aliyeandaliwa. Lakini ni nadra sana na haizewekani mwananchi wa kweli kuuliza swali halisi linaloendana na uhalisia.
Mikutano kama hiyo ya kuhadaa umma kuwa rais anakubalika, tuliiona sana wakati wa Magufuli. Wana mikakati wa rais wanamwaminisha akipita huko mikoani na wafu kujazwa na malori itaonekana anapendwa sana na wananchi. Ajabu ikifika kipindi cha uchaguzi, vyombo vya dola na tume isiyo huru ya uchaguzi ndio itatumika kumtangaza kwa shuruti.