CCM Huu ni UDINI wa aina yake

Kweli basi Lowassa ni mdini, manake kaichangia misikiti mingi tu. Angalia post yangu nyingine
Umejiuliza kwa nini pesa zake hazimwagi kwa vikundi vya vijana, au wakina mama wajasiriamali, au vijijini ku promote kilimo, au kwenye nyumba za kutunza wasiojiweza?

Hao si wahitaji?

Kwa nini kwenye vikundi vya dini (wakristo kwa waislamu)?

Kuna ajenda yoyote ya kutaka kukubalika na waumini wa dini hizo? Kwa nini asilenge kukubalika na vijana au akina mama n.k.?

Tafakari.
 

Jamani pesa kweli inatafutwa..Huu si usanii kabisa!!!
kwangu mimi hii ni HARAM..
Watu wanachezea nyumba za ibada..Laana inakuja..
 
Jamani pesa kweli inatafutwa..Huu si usanii kabisa!!!
kwangu mimi hii ni HARAM..
Watu wanachezea nyumba za ibada..Laana inakuja..
Umejiuliza kwa nini pesa zake hazimwagi kwa vikundi vya vijana, au wakina mama wajasiriamali, au kwenye nyumba za kutunza wasiojiweza?

Hao si wahitaji?

Kwa nini asisaidie shule zilizojengwa na serikali vifaa vya maabara na vitabu?

Kwa nini asisaidie mashine za X ray au vifaa vingine kwenye hospitali zetu za serikali ambazo zinadorora kwa kukosa vifaa hivyo?

Kwa nini kwenye vikundi vya dini (wakristo kwa waislamu)?
 
Exactly, that is my point!
 
Jamani pesa kweli inatafutwa..Huu si usanii kabisa!!!
kwangu mimi hii ni HARAM..
Watu wanachezea nyumba za ibada..Laana inakuja..

Lowasa oyèeeeee!!
Cc: Pasco
 
Last edited by a moderator:
mbona misikiti kamwaga sana mpunga...mpaka kule mwanza akasifiwa sana katika harambee ya kuchangia uanzishwaji wa redio ya kiislamu.........
 
watu hawako huru kufikiri kitu kikiwagusa hawako kukubali ukweli ndio huo ni udin unafikir watashindwa kulipa fadhira na MoU ilisaniwa chini yake siwez kushangaa leo akiwaongezea za kwake
hii ni dhambi ya kisiasa mkuu, haina uhusiano na dini. Hoja nzuri, ila imeegemea kusiko!!
 
Umejiuliza kwa nini pesa zake hazimwagi kwa vikundi vya vijana, au wakina mama wajasiriamali, au kwenye nyumba za kutunza wasiojiweza? Hao si wahitaji? Kwa nini kwenye vikundi vya dini (wakristo kwa waislamu)?

Think big!
swali langu hujajibu. kwa kutoweka michango ambayo mtu huyohuyo amefanya misikitini unataka kuleta picha gani? what's your motive kwa kuweka link hizi zingine ukitia kapuni?

by the way naona mtego wako umenasa wengi kati ya uliowakusudia ila ujue ufanyalo ni dhambi!
 
kama lowasa anasifa na msafi kwanini anatumia nguvu sana kusaka urais? kipindi kile waziri mkuu mbona hakufanya hivyo? kwa nguvu anazotumia basi hafai chema chajiuza kibaya chajitembeza
 
Kwa nini hatusikii anasaidia hospitali za serikali zenye uhaba wa vifaa?

Kwa nini hatusikii anasaidia shule za serikali maabara, ukarabati n.k.?

Kwa nini hasaidii shughuli za kiuchumi za vikundi vya wasiojiweza?

Kwa nini iwe kanisani na misikitini?
 
mbona misikiti kamwaga sana mpunga...mpaka kule mwanza akasifiwa sana katika harambee ya kuchangia uanzishwaji wa redio ya kiislamu.........
Na hiyo pia nimehoji, rudi kwenye hoja yangu juu utaona.
 
Michango ya msikitini nimeitaja pia.

Naomba unijibu na mimi. Kwa nini hasaidii na hospitali na shule za serikali? Kwa nini hasaidii makundi maalum yanayohitaji msaada kama vijana wanaotafuta ajira, akina mama, walemavu n.k.?

Kwa nini nia njema yake aielekeze kanisani na misikitini?
 
Nafikiri hujafanya uchunguzi wa kutosha,Lowasa kamwaga fedha hadi misikitini na waislam wakamvalisha kanzu na kilemba..
Acha umburura,siyo misikitini sema msikitini,only msikiti mmoja,tena wa Bakwata,wazee wa kuhujumu uislam, bt angalia makanisa yalivyokuwa mengi.Mwambieni Lowasa toka awali tumeshamjua kuwa ni mdini,na aendelee kuwa hivyo,kura za kanisani pekee zinaosha kumwingiza ikulu asiwe na wasiwasi. Na bora aendelee huko huko kama mi mwongo aende mtambani,au kichangani au kwa mtoro,au idrisa,au tungi nk aone habari yake.
 
Hii hoja haiwezi kujibiwa.
 
Mwiba hutokea ulipoingilia! NI WANASIASA NDIO WALIOINGIZA UDINI KATIKA SIASA, NA SASA MWANASIASA LOWASSA ANAJARIBU KUUTOA MWIBA NA HARAMBEE ZAKE ZISIZO NA UDINI. BIG UP OUR NEXT PRESIDENT, MHESHIMIWA LOWASSA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…