CCM hii hata ikimsimamisha nani urais, 2015 haitashinda

CCM hii hata ikimsimamisha nani urais, 2015 haitashinda

Joined
Jan 16, 2007
Posts
721
Reaction score
180
Kwa hali ilivyo katika chama tawala CCM(chama cha mafisadi)Hambacho hatima yake ni mwaka 2015 na inawezekana kabla ya hapo hata kitumie mbinu zipi ni vigumu kubaki madarakani hata kiushawishi uongozi wote wa CHADEMA kujiunga na CCM,kichukue pesa zote za banki kuu,pesa zote za bajeti n.k.KUBAKI MADARAKANI HAIWEZEKANI!Ushauri wangu wa bure badala ya kujikita katika mbinu chafu za kutaka kubaki madarakani na kupandikiza na kutumia mbinu chafu ili waendelee kubaki madarakani udini,ukabila,ugaidi n.k ambapo matokeo au matunda yake tumeanza kuyaona.Milipuko ya mabomu,mauaji ya watu wasio na hatia,uchomaji wa makanisa,mauaji ya viongozi wa dini,mabomu ya machozi kila kukicha (Yamekua kama moshi wa sigara au yanatumika kana kwamba serikali imetoa maagizo kwa askari kuyatumia kaba expering date ili watoe nafasi kwenye magala kwa ajili ya mabomu mapya-amabao ni mradi)Ni bora katika kipindi kilichobaki wakajikita kutatua kero za wananchi na kutuachia nchi yetu katika hali ya amani na sio "KAMA KUKOSA TUKOSE WOTE"MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Teh..teh...wacha bwana....a point of no return...kwiii...kwiiii, ayaaaaa
 
Nadhani unapendekeza kuwa Dr. Slaa na Zitto Kabwe(Mb) waongoze CDM kuingia madarakani kama mgombea urais na makamu wake...! nakushauri usubiri utaratibu wa Chama cha CDM kufanikisha suala la nani atakiongoza katika uchaguzi wa 2015 katika nafasi hizo
 
Namaanisha ya kwamba hata ikitumia mbinu zozote haiwezi kubaki madarakani 2015.

Usichukue maoni yako yakawa Maoni ya watanzania wote una uhakika gani wa unachokisema hicho?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Usichukue maoni yako yakawa Maoni ya watanzania wote una uhakika gani wa unachokisema hicho?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Ndugu yangu naona unajaribu kusoma gazeti ukiwa umevaa miwani ya mbao ,najua CCM inafanya kila mbinu kubaki madarakani lakini kuna aina nyingine za mbinu inazozitumia ni janga la taifa mifano iko wazi.
 
Naunga mkono hoja mia kwa mia,ccm haina right candidate mwaka 2015,slaa atawapiga bao 3 kwa mshangao.
 
naunga mkono hoja ccm kwisha kazi
 
Ni kweli chama cha Majangili (CCM), kinaweza kisirudi madarakani ifikapo 2015 endapo tu, kila mmoja wetu kwa nafasi yake atatekeleza wajibu wake na majukumu yake kwa wakati muafaka bila kusahau kutoa elimu ya uraia kwa kila anaye itakia mema nchi hii.
 
Usichukue maoni yako yakawa Maoni ya watanzania wote una uhakika gani wa unachokisema hicho?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

uhakika huna wewe peke ako usiyojua nchi ipo wapi na inaelekea wapi pole sana mda bado upo badilika RIP CCM.
 
Kunawatu wanatakiwa kutibiwa huo utafiti wako feki jaribu kutafakari tena.
 
Natamani mabadiliko lakini tatizo yote dugu moja

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Usichukue maoni yako yakawa Maoni ya watanzania wote una uhakika gani wa unachokisema hicho?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

NDO MAONI YETU AYO WATANZANIA WATAKA MABADILIKO. LABDA KAMA WEWE UMEJITANABAISHA KUWA MFUASI WA MR DENTIST Aka JANGILI A KINANDA MZEE WA TUSKER LAGER NA CHAMA CHAKE
 
Ni kweli chama cha Majangili (CCM), kinaweza kisirudi madarakani ifikapo 2015 endapo tu, kila mmoja wetu kwa nafasi yake atatekeleza wajibu wake na majukumu yake kwa wakati muafaka bila kusahau kutoa elimu ya uraia kwa kila anaye itakia mema nchi hii.
Mkuu ingependeza Kama usingetumia kauli ya kua "kinaweza kisirudi "Kauli hizi zanawapa imani yakuza kunakauwezekano ka kurudi madarakani.
 
Usichukue maoni yako yakawa Maoni ya watanzania wote una uhakika gani wa unachokisema hicho?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mimi nisehemu ya watanzania na nakubaliana maoni ya mleta mada kuwa uhai wa ccm itakoma mwezi october 2015
 
Hivi kuna uchaguzi 2015? Mimi naona ni bora kuelekeza nguvu zenu kwenye uchaguzi wa ndani ya ccm ili apatikane mgombea atakae tufaa. Huyo ndio atakae ongoza taifa. Acheni kudanganyika na ndoto za kina slaa.
 
Kunawatu wanatakiwa kutibiwa huo utafiti wako feki jaribu kutafakari tena.
 
Kweli, CCM wana mbinu chafu sana, sikutegemea kama makongoro mahanga angekuwa mbunge, ndiyo ujue hawa jamaa ni noma, hawashindi kwa kukubalika bali wana shinda kwa mbinu chafu.....Lakini tukiwa simamia kisawa sawa, wataisoma namba. 2015 hatuibiwi kura, hii lugha ya kisiwa cha amani itabidi tu pozi kwa muda haki ipatikane kwanza
 
Back
Top Bottom