CCM hawasemi tu lakini wanapumulia mashine

M/kiti amechanganyikiwa, katibu amevurugwa,katibu mwenezi hajielewi, Wabunge wamevurugwa, madiwani hawajielewi wanachama wamevurugwa na pombe Kali inayoitwa lowasa

nilivyoona title nikajua topic imeanzishwa na mkilimanjaro na imekuwa kweli. yakhe nyie waarusha na wakilimanjaro na umoja wenu wa ukawa ndo mmechanganyikiwa, mwafikiri kwa vile mmetapakaa nchi nzima ntalazimisha mtu wenu mchafu awe rais mkaudumishe mfumo kaskazini(zamani ukiitwa mfumo kristo). mtajidanganya sana.
huo ubaguzi wenu wa kaskazini kwenye ajira na biashara tunauona na toka tupo wadogo, na muda huo hamjatoa rais. simtatuhamisha nchi mkitoa rais? ni mjinga zezeta atakayeipigia ukawa kura,
 
yakhe ndorobo kimario ushapata kisusio shekhe?! arusha na moshi unganeni mmpigie mgombea wenu, sisi kanda zingine na siye wazanzibar tumpe magufuli tuone atashinda nani yakhe
 
Watu Tunataka Mabadiliko Lakn Hatujui Mabadiliko Ya Aina Gan Tunayataja!
Mnauponda Mfumo Wa Ccm Lakin Kwa Sasa Nahis Mfumo Uleule Wa Ccm Unahamia Ukawa.Sababu Ya Kusema Hvo Ni Kutokana Na Kuwa Wanachama Waliokatwa Ccm(chama Cha Maamuzi)wanapewa Madaraka Na Heshma Ya Juu Ndan Ya Ukawa Wakiongozwa Na Lowassa.
Labda Wa Tz Tunataka Mabadiliko Ya Uongoz Kwa Kuona Ccm Viongoz Wake Ni Wala Rushwa Na Mafisad,lakin Tukiangalia Wachache Kati Ya Hao Mliowatuhumu Mpo Nao Ndan Ya Chama Je,wakiwa Ukawa Inamaana Ndo Hawatakua Wala Rushwa Na Mafisad?
 
yakhe ndorobo kimario ushapata kisusio shekhe?! arusha na moshi unganeni mmpigie mgombea wenu, sisi kanda zingine na siye wazanzibar tumpe magufuli tuone atashinda nani yakhe

Jitambue tu kidogo unajiaibisha mwenyewe
 
Ndoroooooooooooooooooooooobo hawa CCM, wametunyonya vya kutosha
 
nilivyoona title nikajua topic imeanzishwa na mkilimanjaro na imekuwa kweli. yakhe nyie waarusha na wakilimanjaro na umoja wenu wa ukawa ndo mmechanganyikiwa, mwafikiri kwa vile mmetapakaa nchi nzima ntalazimisha mtu wenu mchafu awe rais mkaudumishe mfumo kaskazini(zamani ukiitwa mfumo kristo). mtajidanganya sana.
huo ubaguzi wenu wa kaskazini kwenye ajira na biashara tunauona na toka tupo wadogo, na muda huo hamjatoa rais. simtatuhamisha nchi mkitoa rais? ni mjinga zezeta atakayeipigia ukawa kura,

Acha fikra za kinadharia bhana.Siku hizi hatuishi kwa hadithi za kimapokeo za kusimuliwa pembeni ya moto jioni.
 
Hahahaaaaa mkuu you made my evening. ..thank you!
 
Mimi mishe mishe zangu za mitaani. mbona watu wanatamani hata kupuga kura leo
 
Wanatafakari ka kutumia utumbo mpana hawa magamba..
 
Hakuna wa kumzuia Lowassa chini ya UKAWA kushinda uchaguzi wa mwaka huu.
Hata huyo Magufuli analijua hili basi tu hana jinsi ila angeweza angeshasurrender.

Juzi pale Lumumba niligundua ccm wako I.C.U baada ya kumuona mwenyekiti wa CCM taifa akibubujikwa na povu chafu zaidi ya lile povu la nape.
 
nilivyoona title nikajua topic imeanzishwa na mkilimanjaro na imekuwa kweli. yakhe nyie waarusha na wakilimanjaro na umoja wenu wa ukawa ndo mmechanganyikiwa, mwafikiri kwa vile mmetapakaa nchi nzima ntalazimisha mtu wenu mchafu awe rais mkaudumishe mfumo kaskazini(zamani ukiitwa mfumo kristo). mtajidanganya sana.
huo ubaguzi wenu wa kaskazini kwenye ajira na biashara tunauona na toka tupo wadogo, na muda huo hamjatoa rais. simtatuhamisha nchi mkitoa rais? ni mjinga zezeta atakayeipigia ukawa kura,

nadhani una mawazo potofu na upeo wako wa kufikiri ni mdogo sana nachelea kukuita zezeta. jitahidi kujikwamua kutoka kwenye fikra za kibaguzi na chuki namna hiyo..
 
hamna kitu kama iko kwan ccm kitachukua ushindi mapema sana...upinzani wenyewe washaanza kuvulugana makamanda wanaondoka...ni waroho wa madaraka... ccm kina nafasi nzuri ...vote ccm
 
Welevu wako ni kumuita mwenzako zezeta?

Kweli kazi ipo.
 
hamna kitu kama iko kwan ccm kitachukua ushindi mapema sana...upinzani wenyewe washaanza kuvulugana makamanda wanaondoka...ni waroho wa madaraka... ccm kina nafasi nzuri ...vote ccm
CCM mna uroho wa madaraka na ndiyo maana hata kura mnaiba, CCM sikupi kura, tena kafie mbali shetani (CCM) na wote tuseme . Amina
 
Back
Top Bottom