Welevu wako ni kumuita mwenzako zezeta?
Kweli kazi ipo.
nimesema nachelea kumwita zezeta nawe pia naona hata kiswahili pia hukijui.. pita kushoto
Welevu wako ni kumuita mwenzako zezeta?
Kweli kazi ipo.
Baada ya October tuwekeane Marufuku mtu asituletee Ngonjera za 2010 kuwa Mlishinda ila kura ndo zimeibiwa na kuchakachuliwa. Miaka Minne iliyopita mlisema Slaa alishinda ila aliibiwa kura leo 2015 Mnasema alipata kura 2.2 M hivo hana ubavu wa kuitoa CCM
hamna kitu kama iko kwan ccm kitachukua ushindi mapema sana...upinzani wenyewe washaanza kuvulugana makamanda wanaondoka...ni waroho wa madaraka... ccm kina nafasi nzuri ...vote ccm
Juzi pale Lumumba niligundua ccm wako I.C.U baada ya kumuona mwenyekiti wa CCM taifa akibubujikwa na povu chafu zaidi ya lile povu la nape.