eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
M/kiti amechanganyikiwa, katibu amevurugwa,katibu mwenezi hajielewi, Wabunge wamevurugwa, madiwani hawajielewi wanachama wamevurugwa na pombe Kali inayoitwa lowasa
Kwani UKAWA walisema? Ukweli ni kwamba..lakuvunda halina ubani! Kungekuwa na maroroso mngesikia tu...ccm ni imara zaidi na zaidi
Baada ya October tuwekeane Marufuku mtu asituletee Ngonjera za 2010 kuwa Mlishinda ila kura ndo zimeibiwa na kuchakachuliwa. Miaka Minne iliyopita mlisema Slaa alishinda ila aliibiwa kura leo 2015 Mnasema alipata kura 2.2 M hivo hana ubavu wa kuitoa CCM
Mbona wanakimbia mkuu!! Kitu imara watu wanakimbia kweli
Ungejua 2010 na 2015 ni vitu viwili tofauti
Kukimbia ni kawaida..hata shetani alivyokatwa mbinguni...alikimbia na kundi la pepo wachafu
Nilicheka sana jana, JK ili kutaka kuonyesha kwamba hakuna tatizo akajikuta anacheza miziki yote iliyokuwa inapigwa! Nilicheka sana nikajua kweli mzee kavurugwa!
Kwani UKAWA walisema? Ukweli ni kwamba..lakuvunda halina ubani! Kungekuwa na maroroso mngesikia tu...ccm ni imara zaidi na zaidi