Ccm hawapendi 25 oktoba 2015 ifike haraka

Ccm hawapendi 25 oktoba 2015 ifike haraka

Mssassou

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2015
Posts
1,537
Reaction score
597
Hofu imewaingia,Lowassa amewapoteza CCM kwa mbali sana,wamevurugana na wanahujumiana,mke wa Magufuri kagoma kumuombea kura mume wake.Habari kutoka kwa baadhi ya makada wanadai CCM inakwenda kuanguka vibaya
 
Mungu wetu wa Mbinguni tunakuomba uutimize unabii wako uluosema na Mtumishi wako Askofu Kakobe. Yote yanawezekana katika jina la Yesu
 
Vp mikoa shinyanga,Geita,Singida,Tabora na Simiyu.Upepo wa kisiasa upoje ni Lowassa au Magufuli
 
Nakuambia visu vimenolewa haswa.Yaani kama Tarehe ingeweza kupelekwa mbele leo wangekiona cha mtemakuni.
 
Waombe tufanye uchaguzi leo hii. CCM watapotezwa vibaya sana.
 
Hofu imewaingia,Lowassa amewapoteza CCM kwa mbali sana,wamevurugana na wanahujumiana,mke wa Magufuri kagoma kumuombea kura mume wake.Habari kutoka kwa baadhi ya makada wanadai CCM inakwenda kuanguka vibaya

CCM wana postpone heartbreaks.
 
Mi nilipata mchongo wa kusimamia uchaguzi nimekataa ili nisikose kuichinja ccm tarehe 25
 
Back
Top Bottom