Kuna tetesi kuwa ccm kitamvua uanachama Lowasa nataka niwahakikishia hawa jamaa hawajawahi kumfuta hata balozi wa nyumba kumi na halitawezekana kwa lowasa.Kama tuna kumbukumbu walishasema kuvua gamba hawakuthubutu kugusa hili jiwe la msingi na kwa
hili halitatokea labda wamsimamishe kutokugombea nafasi yoyote ndani ya chama kwa muda fulani tena nasema labda.Hakuna watu wliokosa maamuzi kama hawa escrow yenyewe imewashinda kutoa maamuzi wakamtoa yule mama kafara lakini majabali bado yapo.