CCM hamuwezi kuzuia Mafuriko kwa mikono

Sisi tunajua vitabu vitaandika mbowe ni gaidi..political hooligan ma hivi ndio vitabu vitakaa ktk libraries...
Sahau Hilo,ndio ninyi mtakao kula matapishi yenu,mnaujua ukweli Ila mmevaa vichwa vya kuku, tambua kuwa ukweli huwa hauzikwi.
 
Historia ya Tanzania itabadilika tutakapo pata katiba mpya.Katiba mpya lazima ipatikane iwe jua iwe mvua.Mbowe na watu wengine wataandikwa na kusomwa ktk Shule na vyuo mbali mbali hapa nchini kama watu mashujaa ambao walifungwa gerezani ili kuipigania katiba mpya ya wananchi.

Kizazi kijacho kitataka sana kufanya tafiti kujua huyu Freeman Aikael Mbowe ni MTU wa aina gani hasa. Aina ya siasa zake, msimamo wake na mtazamo wake wa kizalendo usio jali maslahi binafsi utakuwa kivutio kikubwa.

Mbowe mnaweza mkamuua, mkamtesa, mkampoteza mkamfunga lakini kamwe hamuwezi kuua,kufunga, kupoteza wala kutesa falsafa yake na ya chama chake iliyomo ndani ya mioyo yetu.
Katiba au historia haiandikwi kwa njoa ya mtandao acheni siasa maji taka hata ulaya waliogundua mitandao wanaingia barabarani sahauni kabisa hizi ngonjera zenu tumezizoea wananchi.
 
Historia ya Tanzania itabadilika tutakapo pata katiba mpya.Katiba mpya lazima ipatikane iwe jua iwe mvua.Mbowe na watu wengine wataandikwa na kusomwa ktk Shule na vyuo mbali mbali hapa nchini kama watu mashujaa ambao walifungwa gerezani ili kuipigania katiba mpya ya wananchi.

Kizazi kijacho kitataka sana kufanya tafiti kujua huyu Freeman Aikael Mbowe ni MTU wa aina gani hasa. Aina ya siasa zake, msimamo wake na mtazamo wake wa kizalendo usio jali maslahi binafsi utakuwa kivutio kikubwa.

Mbowe mnaweza mkamuua, mkamtesa, mkampoteza mkamfunga lakini kamwe hamuwezi kuua,kufunga, kupoteza wala kutesa falsafa yake na ya chama chake iliyomo ndani ya mioyo yetu.
Zuma kajipeleka gerezani wenye akili zao wameandamana nyie vyura mnabweka humu tu mbowe yuko ndani.

Hakuna hata mtu mmoja aliyejitokeza hadharani mko humu tu mnaupiga na id zenu feki.

Kenge tu nyie mnaokimbilia bwawani kwa kuogopa mvua
 
Ni sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejihika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.

Hakina kushiriki msiba wala sherehe ama hafla yoyote ya mwanaccm, hakuna kununua chochote kwenye biashara ya mwanaccm ama hata kupakia vyombo vyao vya usafiri labda iwe lazima sana. Tusiogope kuhamashana kwenye hili. Kwa vyovyote mbinu hii itamgusa kila mtanzania. Kwenye nyumba za ibada hakuna kutoa sadaka, na kuwaambia viongozi wa dini wanakalia kimya uovu. Mbinu hii haitatuacha na vilema wala kubambikiwa kesi, kutekwa ama kuuwawa. Mbinu hii ilitumiwa Zanzibar na ilifanya kazi. Madai ya katiba mpya ni ya halali, kwani wezi wa kura wasio na ushawishi waendelee kututesa na kutimiza kwa madai yetu halali. Ni juu yetu wapinzani kujiokoa.
 
Ni kweli Mbowe na Chadema walichofanyiwa si kizuri.

Ila tuukubali ukweli huu vilevile: Tukiweka kando mahaba ya wenye vyama vyama mambo ya Mbowe na Chadema hayaongelewi mtaani zaidi ni kwenye mitandao tu ambayo ni miwili, Jf na Twitter.

Si makazini, si mitaani, si kwenye nyumba za ibada wala kwenye daladala n.k
Haya mambo hayazungumziwi. Huu ukweli tuukubali. Nimejaribu kuwa kimya sehemu tofauti tofauti ili kusikilizia kama ya Chadema yatazungumziwa ila hakuna.

Mwengine ukimuambia Mbowe kakamatwa ndiyo kwanza anasikia kutoka kwako.

Sasa haya ukiyaleta humu linakuwa ni tatizo kwa wafia chama, likizungumziwa hili wanatoa lugha za kebehi, matusi na muda mwengine wanadhani ni CCM kumbe wengine hatuna vyama.
 
Zuma kajipeleka gerezani wenye akili zao wameandamana nyie vyura mnabweka humu tu mbowe yuko ndani.

Hakuna hata mtu mmoja aliyejitokeza hadharani mko humu tu mnaupiga na id zenu feki.

Kenge tu nyie mnaokimbilia bwawani kwa kuogopa mvua
Wewe na mama yako mzazi pia ni kenge, unawashambulia wenzio kwa ID feki iweje nawe utumie ID feki.
 
Historia ya Tanzania itabadilika tutakapo pata katiba mpya.Katiba mpya lazima ipatikane iwe jua iwe mvua.Mbowe na watu wengine wataandikwa na kusomwa ktk Shule na vyuo mbali mbali hapa nchini kama watu mashujaa ambao walifungwa gerezani ili kuipigania katiba mpya ya wananchi.

Kizazi kijacho kitataka sana kufanya tafiti kujua huyu Freeman Aikael Mbowe ni MTU wa aina gani hasa. Aina ya siasa zake, msimamo wake na mtazamo wake wa kizalendo usio jali maslahi binafsi utakuwa kivutio kikubwa.

Mbowe mnaweza mkamuua, mkamtesa, mkampoteza mkamfunga lakini kamwe hamuwezi kuua,kufunga, kupoteza wala kutesa falsafa yake na ya chama chake iliyomo ndani ya mioyo yetu.
Kizazi hikihiki cha ubuyu au kingine? Masaa 72 yamepita tangu Mbowe amekamatwa kwa uonevu mmefanya nini?
 
Back
Top Bottom