Inayotakiwa kujadiliwa ni rasimu ya Jaji Warioba na si vinginevyo.
Kuna vitu viwili ambavyo ni sahihi na ccm wanaviogopa sana ; Serikali moja na serikali tatu
1. Serikali moja - ilikuwa muafaka sana. Ila wanaiogopa Zanzibar.
2. Serikali tatu - wanaogopa kuondoa dhana ya chama kushika hatamu.
Hali hiyo imewafanya wapiganie serikali mbili ambazo sio sahihi kwa kuwa Tanganyika inapoteza utaifa wake
Mtaishi katika uongo hadi lini?
ccm imemsomesha nani ?
...Watu wanasoma kwa jitihada zao bwana !
Mkuu, tujaribu kujiuliza kwa nini Rais aliamua kuelemea upande wa chama chake na kuwaacha wananchi wengi wengine? Pale BMK alikuwa mgeni rasmi kama Rais wa nchi hivo alikuwa akitoa maagizo kwa wanachama wake kusimamia msimamo wa chama chake. Rais angejitambua pale alikuwa kama mkuu wa nchi na kutoonesha HAMASA ya chama chake basi wabunge wa chama chake (sio wote) tungewalaumu kwa kuegemea maslahi ya chama.
ccm imesomesha wajinga tu kama kina nape, ila tuliosomeshwa na baba zetu hatuwez tetea ujinga kwa sabab hatuna nadhiri. nikumbushen hivi ni nan yule aliyetoroka monduli kwa sabab ya usnitch
Wengine wamehoji itakuwaje Rais wa Muungano akiwa Mzanzibari, maana Zanzibar itakuwa na Marais wawili, na Tanganyika itakuwa haina Rais hasa ikizingatiwa kuwa nafasi za umakamu hazina nguvu yoyote kikatiba wala kisheria.
NB
Tujadili bila kuweka ushabiki wala itikadi.
Hili ni suala la kitaifa.
Umenena kweli mkuu, sijui wananchi wengine hasa wa vijijini wanalifahamu hili!Ndugu yangu maji yalizidi unga.Alishindwa kuchanganya za kwake na za kuambiwa,akaamua kutumia za kuambiwa tu.............Ila kwa kweli RAIS hatuna hilo tulijuwe tusubiri 2015 tumuombe Mungu ili tupate RAIS BORA na si BORA rais.
Upo sawa mkuu lakini huwezi kuwa na SMZ bila kuwa na Zanzibar. Hili ndilo kosa waasisi wa muungano huu walilifanya na sasa ni jukumu letu kulirekebisha. Cha ajabu wapenda vurugu hawataki!!!!!!!!!!!Nawashaur Ccm kwa vile hawatak serikal 3 ambazo ndo maon ya wenye nchi .waende ZANZIBAR wafute ile katiba yao ili turudi kama mwanzo ambapo tulikuwa na Nchi moja yaan TANZANIA na serikal mbili, yaan serikal ya JMT na SMZ na hamna kitu kinachoitwa Tanganyika wala Zanzibar.(hayo ndo maboresho ya serikal 2)
ITAKUWA FEDHEHA kubwa sana kama Ukawa watakubal kurud na kujadil Mambo ambayo sis Wananchi hatukuyapendekeza ktk rasimu ya Pili ya Katiba.
Umenena kweli mkuu, sijui wananchi wengine hasa wa vijijini wanalifahamu hili!
Inategemea wewe una maana gani unaposema mjing a! Kwa mtazamo wangu wote wanaopenda serikali mbili ni werevu sana kwa sababu wanalinda mfumo unaowahakikshia usalama wao.na mtanganyika yeyote anayependa serikal mbili ni mjing a
Inasikitisha mno, tena utawakuta vijana na wasomi pia.Kaka siyo wa VIJIJINI hata sisi wa MJINI pia tupo kama hatuelewi somo.Na hasa ukiwa chama chetu hiki ndiyo kabisa na akili inakuwa imeondoka.
Inasikitisha mno, tena utawakuta vijana na wasomi pia.