Ccm ilikuwepo ipo na itaendelea kuwepo
Natofautiana na wewe kidogo, Mungu peke yake ndiye aliyekuwepo na ataendelea kuwepo.
Mleta mada kasema tuondoe itikadi zetu tujikite kwenye hoja ya msingi kwa ajili ya ustawi na afya ya nchi yetu.
Nakubaliana na mleta mada hapo chama chetu kilikosea sana. Rais wetu alikuwa na nia njema katika jambo hili lakini makada wakamtisha ndo ikawa hivo tena.
Naungana na maoni ya wananchi bila kuogopa chama changu.
Haiwezekani mbona ccm weye una akili?

ccm wote mngekuwa reasonable hivi tungefika mbali.
Mkuu, suala sasa ni wananchi kuchukua UAMUZI wa kumshughulikia anaye hujumu UPATIKANAJI wa katiba kama ilivotayarishwa na tume HALALI ya katiba.Upo vizuri mkuu
Mkuu, tujaribu kujiuliza kwa nini Rais aliamua kuelemea upande wa chama chake na kuwaacha wananchi wengi wengine? Pale BMK alikuwa mgeni rasmi kama Rais wa nchi hivo alikuwa akitoa maagizo kwa wanachama wake kusimamia msimamo wa chama chake. Rais angejitambua pale alikuwa kama mkuu wa nchi na kutoonesha HAMASA ya chama chake basi wabunge wa chama chake (sio wote) tungewalaumu kwa kuegemea maslahi ya chama.Tunaweza kumlaumu JK kwa maelezo yake lakini aliweka angalizo kwamba naomba ni mnukuu ."Akili za kuambiwa changanya na zako". Wenye matatizo ni wabunge wenyewe kwa uwoga wao na kujipendekeza kwao wao wakachukua za kuambiwa tu na za kwao wakaziacha sasa tutegemee nini? Hivi mtu akikwambia kula sumu utakula? Au itabidi utafakari kabla haujaibwia?
Mkuu, suala sasa ni wananchi kuchukua UAMUZI wa kumshughulikia anaye hujumu UPATIKANAJI wa katiba kama ilivotayarishwa na tume HALALI ya katiba.
Badala ya kuahidi kuijadili rasimu rasmi ya tume ya katiba sasa hivi wamewakimbilia viongozi wa dini ili watoe miito ya kuwataka UKAWA kurejea BMK badala ya wao kukiri kuwa ndio chanzo cha tafran hii.Ujinga unatughalimu sana watz.
Badala kumshughulikia aliyevunja sheria kwa kuwasilisha rasimu feki ya kundi fulani, tunashughulika na waliokataa kushiriki dhuluma hiyo.
Ccm ilikuwepo ipo na itaendelea kuwepo
Kurudi bungeni kujadili rasimu ya tume ya warioba au rasimu ya CCM? Nini chanzo cha ukawa kutoka bungeni? na je, chanzo hicho kimetafutiwa mwarobaini? serikali mbili zipo kwenye rasimu ipi?
UKAWA wakikosea tu na kurudi bunge la katiba ya ccm historia itawahukumu !
...maana ccm watawaambia walishiriki kuhalifu maoni ya wananchi !