Hebu fikiria mabaya yote ambayo anatupiwa Lowasa lakini ma milioni wanamkubali na kila kukicha wanachama wa CCM wanarudisha kadi zao na kuwa wanachama wa UKAWA!!
Kwanini asishinde shujaa wa tanzania!? Mi binafsi napenda amani hivyo tuacheni tupite kwa amani na sio majungu kila kukicha.. Maccm vipiiiii?
Sim yangu