CCM haitabaki salama!

CCM haitabaki salama!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Katika siku za hivi karibuni, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Mwigulu Nchemba amekuwa akitembea katika kila kona ya nchi ya Tanzania na mfuasi mwenzetu wa CCM aitwaye Tesha. Mfuasi huyu anadaiwa (hasa na Mwigulu) kumwagiwa tindikali na wafuasi wa CHADEMA wakati wa harakati za Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Igunga.

[COLOR=#000000 [B]Mwigulu Nchemba[/B] ameshazunguka sehemu mbalimbali akiwa naTesha-wa-Igunga. Mwigulu anaomba uungwaji mkono wa watanzania kupitia mhanga huyu wa tindikali. Ni hivi katibuni tu Mwigulu Nchemba alikuwa na Tesha-wa -Igunga katika Kampeni za uchaguzi za Udiwani wa Arusha.[/COLOR]

Nia hasa ya Mwigulu Nchemba ya kutembea na kuutangazia umma kuwa Tesha-wa-Igunga amemwagiwa tindikali na CHADEMA na kuwa kama alivyo sasa ilikuwa ni kupaka matope CHADEMA na kuonesha chama hicho kama chama cha unyama na hakifai kuaminiwa na kuungwa mkono na watanzania.

Nia nyingine ni kuanzisha kesi dhidi ya CHADEMA. Hili sasa linafanywa na Polisi na Kurugenzi ya Mashtaka. Lakini,vyombo hivi vya kisheria vilikuwa wapi tangu uchaguzi wa Igunga hadi Mwigulu Nchemba alipoanza kutembeana Tesha-wa-Igunga? Vipi kuhusu Saed Kubenea na Ndimara Tegambwage waliomwagiwa Tindikali hata kabla ya Tesha-wa-Igunga? Nani alizunguka nao? Wao hawana thamani?

Siasa ni hoja,sera na ushawishi.Si vinginevyo. Ushindi wa mezani umepitwa na wakati. Si kila mtu anafurahia ‘kunyanyaswa' kwa CHADEMA.Wengine wanaona huruma na kuona kuwa chema kinakatazwa kisiwasaidie watanzania.

Tesha-wa-Igunga hataisaidia chochote CCM yetu zaidi ya kupandikiza umakini wa kutenda,KUCHUNGUZA na kusema kwa CHADEMA. CCM,katika hali hii,haitabaki salama.Italindwa,itatumikiwa lakini ipo siku itasalitiwa na kukimbiwa.

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Kwa wataalamu wa sheria kupitia majukwaa ya kampeni wafuasi wa chadema tayari wamehukumiwa na Mh. Mchemba Mwigulu kuwa ndio waliofanya kitendo kile hapo hapo wafuasi wake wanashtakiwa kwa kosa ambalo Mh Mchemba Mwigulu ameshatoa hukumu........sheria hapa inasemaje? Wanashtakiwa ili kukazia hukumu ya Mh.Mchemba au itatolewa hukumu ingine? VUTA-NKUVUTE
 
Mtu akikaribia kufa hutapatapa hivyo ndivyo ilivyo kwa ccm
yes mkuu, mgonjwa mahututi akikwambia anataka kwenda haja kubwa basi ita ndugu muaze maandalizi ya matanga mapema.
 
Katika siku za hivi karibuni, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Mwigulu Nchemba amekuwa akitembea katika kila kona ya nchi ya Tanzania na mfuasi mwenzetu wa CCM aitwaye Tesha. Mfuasi huyu anadaiwa (hasa na Mwigulu) kumwagiwa tindikali na wafuasi wa CHADEMA wakati wa harakati za Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Igunga.

[COLOR=#000000 [B]Mwigulu Nchemba[/B] ameshazunguka sehemu mbalimbali akiwa naTesha-wa-Igunga. Mwigulu anaomba uungwaji mkono wa watanzania kupitia mhanga huyu wa tindikali. Ni hivi katibuni tu Mwigulu Nchemba alikuwa na Tesha-wa -Igunga katika Kampeni za uchaguzi za Udiwani wa Arusha.[/COLOR]

Nia hasa ya Mwigulu Nchemba ya kutembea na kuutangazia umma kuwa Tesha-wa-Igunga amemwagiwa tindikali na CHADEMA na kuwa kama alivyo sasa ilikuwa ni kupaka matope CHADEMA na kuonesha chama hicho kama chama cha unyama na hakifai kuaminiwa na kuungwa mkono na watanzania.

Nia nyingine ni kuanzisha kesi dhidi ya CHADEMA. Hili sasa linafanywa na Polisi na Kurugenzi ya Mashtaka. Lakini,vyombo hivi vya kisheria vilikuwa wapi tangu uchaguzi wa Igunga hadi Mwigulu Nchemba alipoanza kutembeana Tesha-wa-Igunga? Vipi kuhusu Saed Kubenea na Ndimara Tegambwage waliomwagiwa Tindikali hata kabla ya Tesha-wa-Igunga? Nani alizunguka nao? Wao hawana thamani?

Siasa ni hoja,sera na ushawishi.Si vinginevyo. Ushindi wa mezani umepitwa na wakati. Si kila mtu anafurahia ‘kunyanyaswa' kwa CHADEMA.Wengine wanaona huruma na kuona kuwa chema kinakatazwa kisiwasaidie watanzania.

Tesha-wa-Igunga hataisaidia chochote CCM yetu zaidi ya kupandikiza umakini wa kutenda,KUCHUNGUZA na kusema kwa CHADEMA. CCM,katika hali hii,haitabaki salama.Italindwa,itatumikiwa lakini ipo siku itasalitiwa na kukimbiwa.

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Kwani mwigulu ana akili timamu? Ni kichaa anayeua chama, huku mwenyekiti wake akishangilia.
 
Kwana mana hiyo Nchemba alijua movie yote, akaanza kutengeneza mazingira kwa kuanza kumnadi kwenye mikutano sio?

Au kwenye hiyo kesi yeye ndo kashika remote?
 
uzuri inasemekana tindikali walimwagia wenyewe na kumtibu wenyewe kwa hela zao.
hata hyu mangi anajua.
anajua kilichompata baada ya kuwadhulumu wenzake laki na nusu alizopewa akaingia nayo mitini.
nwenzake walishirikiana nae kutoa mabango ya Kashindye ndio walimwagia.
hata uso wa mwigulu unaonyesha wazi anaongea uongo na uzandiki.
Ole wake huyu mangi akanyage moshi ndio atakiona cha mtema kuni asipokiri ukweli.
wachaga hawataki watu wanafiki.
 
Wameshindwa lakini hawaamini wameshindwa
na badala yake wanawalaumu wanaowaambia
wameshindwa kwa kushindwa kwao! Kana
kwamba, wanaowalaumu wakinyamaza basi
wao wataweza! Wenyewe wanaambizana
kuwa wakipewa nafasi nyingine 2015 basi
wataaanza kuweza; na wapo watu wanaamini
kuwa hilo linawezekana; kwamba pundamilia
anaweza kugeuka na kuwa farasi! Kama
wenyewe wameshindwa kuvuana magembe
licha ya mbwembwe zote za “kuvuana
magamba” kweli kuna uwezekanow
wataweza? Na ukweli ni kuwa walipofika sasa
hawawezi kurudi kwenye misingi ya Nyerere
na Taifa letu; kwa sababu kurudia misingi
hiyo ni kujishtaki katika historia.
kuna namna moja ttu ya kuwasaidia…
kuendelea kuwakataa.
Maskini CCM!
Maskini Kikwete
Maskini Tanzania chini yao!
 
nchemba, polisi CCM. ama kweli chadema ikiingia ikulu wengi tutafaidi kwani vibaraka na mafisadi wengu na hata polisi watahukumiwa kwa uovu wao na wasio na ajira watapata ajira popote msomi ulipo jiandae na jiunge na chadema leo hii ndiyo taa ya njano kwa sisiem nyekundu ipo njian 2013 ni yetu, made from cdm god bless cdm god bless Tanzania
 
Sidhani kama kuna lolote alilowahi kubuni MWIGULU likafanikiwa..so nadhani na hili lita-fail mchana kweupee...
 
Katika siku za hivi karibuni, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Mwigulu Nchemba amekuwa akitembea katika kila kona ya nchi ya Tanzania na mfuasi mwenzetu wa CCM aitwaye Tesha. Mfuasi huyu anadaiwa (hasa na Mwigulu) kumwagiwa tindikali na wafuasi wa CHADEMA wakati wa harakati za Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Igunga.

[COLOR=#000000 [B]Mwigulu Nchemba[/B] ameshazunguka sehemu mbalimbali akiwa naTesha-wa-Igunga. Mwigulu anaomba uungwaji mkono wa watanzania kupitia mhanga huyu wa tindikali. Ni hivi katibuni tu Mwigulu Nchemba alikuwa na Tesha-wa -Igunga katika Kampeni za uchaguzi za Udiwani wa Arusha.[/COLOR]

Nia hasa ya Mwigulu Nchemba ya kutembea na kuutangazia umma kuwa Tesha-wa-Igunga amemwagiwa tindikali na CHADEMA na kuwa kama alivyo sasa ilikuwa ni kupaka matope CHADEMA na kuonesha chama hicho kama chama cha unyama na hakifai kuaminiwa na kuungwa mkono na watanzania.

Nia nyingine ni kuanzisha kesi dhidi ya CHADEMA. Hili sasa linafanywa na Polisi na Kurugenzi ya Mashtaka. Lakini,vyombo hivi vya kisheria vilikuwa wapi tangu uchaguzi wa Igunga hadi Mwigulu Nchemba alipoanza kutembeana Tesha-wa-Igunga? Vipi kuhusu Saed Kubenea na Ndimara Tegambwage waliomwagiwa Tindikali hata kabla ya Tesha-wa-Igunga? Nani alizunguka nao? Wao hawana thamani?

Siasa ni hoja,sera na ushawishi.Si vinginevyo. Ushindi wa mezani umepitwa na wakati. Si kila mtu anafurahia ‘kunyanyaswa’ kwa CHADEMA.Wengine wanaona huruma na kuona kuwa chema kinakatazwa kisiwasaidie watanzania.

Tesha-wa-Igunga hataisaidia chochote CCM yetu zaidi ya kupandikiza umakini wa kutenda,KUCHUNGUZA na kusema kwa CHADEMA. CCM,katika hali hii,haitabaki salama.Italindwa,itatumikiwa lakini ipo siku itasalitiwa na kukimbiwa.

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Kwani mwigulu ana akili timamu? Ni kichaa anayeua chama, huku mwenyekiti wake akishangilia.
 
Mussa Tesha=Condom ya Mwigulu,anatolewa kafala bila kujielewa.Ignorance is the problem.
 
Mzee Tupatupa, kwa bandiko lako hili lazima uchukiwe na wanaccm wenzako akina Ritz, Hamy-D, Mandieta, Nduka, Mwigulu Nchemba a.k.a. Lameck Madelu mwenyewe, na wengine wengi. Wao huwa hawapendi kukosolewa hivi.
 
kuna ambao walikuwa zaidi ya mwigulu nchemba na wakapita na waliokuwa na uwezo mkubwa sana ndani ya ccm lakini wamepita na mwigulu naye atapita
 
Sababu ya Mwigulu Nchemba kuzunguka na yule kilema wa watu Tesha ni kutaka kura za huruma kwa watanzania. Mbaya zaidi alifanya hivyo kwa watu wa Arusha ambao wameshaelimika, hawadanganyiki tena!
 
Last edited by a moderator:
Sababu ya Mwigulu Nchemba kuzunguka na yule kilema wa watu Tesha ni kutaka kura za huruma kwa watanzania. Mbaya zaidi alifanya hivyo kwa watu wa Arusha ambao wameshaelimika, hawadanganyiki tena!
shauri zako, ngoja mwigulu akusikie, Ngumi moja tu huamki, kasema mwenyewe.
 
Back
Top Bottom