Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Toka usingizini mkuu kusha kucha sasa.
Unazan kuna aliye na maamuzi zaidi ya mwenyekiti?
Sent using Jamii Forums mobile app
mtasubiri sana na mtateseka sana hilo halitotokeaUmesahau mwenyekiti wa 2015 aalivyogeuziwa kibao na wanachama kwa kupiga teke chaguo lake?
Unajidanganya. CCM haitabadili gia 2020 maana haina uwezo huo...labda 2025 wakati wa kurithisha mtu mambo yatakataaWakuu nawasalimu kwa upendo mkuu!
Napenda kumkumbusha Jiwe kuwa asijione kafika ndani ya CCM, atashangaa na hataamini atakapoona utaratibu wa wanachama wa kukaa kimya na kususia form za kugombea urais pindi Rais aliyeko madarakani anagombea kwa mara ya pili ukibadilika.
2020 WanaCCM watajitokeza kuchukua form ili waingie kwenye kura za maoni na mtasikia huko jinsi kura zitakapohesabiwa mara nyingi. Maana matokeo ya kura za maoni ndani ya CCM 2020 yataishangaza nchi zaidi ya ilivyokuwa 2015.
Moderators msiufute huu uzi mpaka kura za maoni zipgwe August 2020.
Rudi shule ukajifunze kuandika na kusomaAcha kuropoka vitu usivyo vijua,ccm ni chama makini sana,hakiendeshwi kwa lamli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa majibu yako umedhiirisha kuwa wewe ni kweli mpiga lamli,ccm ilikuwepo na itaendelea kuwepo milele.Rudi shule ukajifunze kuandika na kusoma
Ni ramli sio lamli
Umakini ndio huu umbumbumbu wenu hahahh mna safari ndefu
safari hii mtahesabu fito dammit!
Endeleeni kufuga nyani mwituzzzzzz!
Nguvu ya umma ni silaha tosha kuutoa udhalimu wa sisiem
Mwalimu nyerere alishindwa Mara 2 kumweka salimu Ahmed salimu.Toka usingizini mkuu kusha kucha sasa.
Unazan kuna aliye na maamuzi zaidi ya mwenyekiti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau mwenyekiti wa 2015 aalivyogeuziwa kibao na wanachama kwa kupiga teke chaguo lake?
Tulia wewee acha uharo wako hapachahali bwana
mtapata tabu sana kwa kupenda kuambiwa mnayotaka kusikia hahahhahhahhhahah.... poleni sanaTulia wewee acha uharo wako hapa
Natarajia kuanza kumloga baba yenyuuuuKwa majibu yako umedhiirisha kuwa wewe ni kweli mpiga lamli,ccm ilikuwepo na itaendelea kuwepo milele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nawasalimu kwa upendo mkuu!