CCM haina kikao na watendaji waovu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM haina kikao na watendaji waovu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mgoyangi, Mar 19, 2011.

 1. Mgoyangi

  Mgoyangi Senior Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mgeja ambaye ni mwenyekiti wa ccm amesema chama hicho hakina ubia na watendaji wala rushwa na wabadhirifu.
  'CCM haijawatuma watendaji wezi na wabadhilifu wala rushwa' anasema Mgeja muda huu akihutubia kijijini kagongwa wilayani Kahama
  anasema kukihukumu chama hicho kwa madhambi ya aina hiyo siyo haki
  anawataka wananchi kuwashughulikia vilivyo watendaji wa aina hiyo
   
 2. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mgeja anaweza kusema chochote lakini ukweli unabakia pale pale kwamba mtaji wa CCM kwa hivi sasa ni wezi, majambazi wa kila aina, wauza unga na waporaji wa rasilimali za taifa.
   
Loading...