CCM fungueni macho

CCM fungueni macho

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,451
Reaction score
4,655
Wanabodi.
Huwa napendelea sana kukaa ilala, Kinondoni na Kawe. Sijui ni concidence ama vipi lakini asilimia 95% ya watu ninaokutana nao ni UKAWA.

kazini kwetu asilimia 100% ni UKAWA, Kijijini Kwetu Iringa asilimia zaidi ya 80% ni UKAWA.

huwa najiuliza wale watu kwenye Mikutano ya CCM wanatoka wapi? sio Mamluki kweli?

CCM ninaokutana nao wana kiburi cha kushinda uchaguzi asilimia 100%. Hivi hawaoni muamko wa watu kwasasa?

Hata kwenye huu uzi baada ya siku mbili njooni muangalie wachangiaji wanasupport kambi gani? Licha ya kuwepo watu maalum wanaolipwa kuisupport CCM humu.

CCM fungukeni, kuna gharika kubwa linakuja
 
Njaa kari fc (buku 7) wamelala bado watakuja na matusi sio muda mrefu
 
Safari hii ukawa wanatakiwa walinde kura kiume-kuitoa ccm madarakani si kitoto-kukubali wameshidwa haitakuwa kazi rahisi-japo sasa naona wanawatu weak lakini bado-maana hutegemea sana wizi wa kura
 
1442465549837.jpg
1442465597320.jpg
1442465623760.jpg
 
ni kweli kabisa, wizi wa kura unawapa kiburi ila kipindi hiki it wont work myfriends

Mkuu kwa sasa wanazan ni ile ya miaka ile wasichojua ni kuwa hata mungu anataka mabadiliko ndo maana cku hizi hatujui masika lini au vuli lini
 
Mkuu kwa sasa wanazan ni ile ya miaka ile wasichojua ni kuwa hata mungu anataka mabadiliko ndo maana cku hizi hatujui masika lini au vuli lini

Ninawashangaa sana hawa CCM.

Hivi ni mimi tu au nyie hukko kwenu vipi?
 
Ninawashangaa sana hawa CCM.

Hivi ni mimi tu au nyie hukko kwenu vipi?

Nmejaribu kuuliza sijampata wa ccm sasa najiuliza wale wanaenda ni wa wapi na ukitaka ujue wananchi walivyo na hasira nao muulize dereva yeyote wa bodaboda yeyote
 
Baada ya trh 25 ndo utapata majibu ya wa Tz. Hata mrema alihesabu hivyo hivyo lakin kapet la ikulu hakuliona.
 
Actualiiii, tumejipaaanga, tumeandaa vijana wakutosha ambao tutwasambaza majimbo yote karibia 245 kwaajir ya zoez zimaaaa, laa kuhakikisha tunashinda kwa lile bao letu la mkojooooo. 😳😳🚫🚫🚫 ndo tegemeo ingawa wanaouona muamko wa watu
 
Safari hii ukawa wanatakiwa walinde kura kiume-kuitoa ccm madarakani si kitoto-kukubali wameshidwa haitakuwa kazi rahisi-japo sasa naona wanawatu weak lakini bado-maana hutegemea sana wizi wa kura
Ataa Kikwete ameshaliona hilo .uchaguzi wa 2005 ulikuwa boy's to men's lakini uchaguzi huu 2015 amekiri mwenyewe Zanzibar kuwa ni men's to men's .ingawa alipunguza ulingo na kusema man to man..ccm aitoboi safari hii .
 
Kuna wafanyakazi wanne katika wizara moja hapa DSM, nilikuwa ofisini kwao wiki hii.....wote ni UKAWA - wana hasira sana na CCM !.

Mimi nikawauliza....kama nyie, wafanyakazi wa serikali, mnaweza mkawa mna hasira na CCM kwa kiwango hiki, sasa CCM wataponea wapi ?!

Ninaamini CCM hawawezi kusurvice mwaka huu.....kuiba kura kuna limitations......kumbuka goli la mkoni ni mpaka ufike golini, kama unachezewa nusu uwanja, hakuna namna utaweza kulifunga hilo goli la mkono.

Ninawashangaa sana hawa CCM.

Hivi ni mimi tu au nyie hukko kwenu vipi?
 
Baada ya trh 25 ndo utapata majibu ya wa Tz. Hata mrema alihesabu hivyo hivyo lakin kapet la ikulu hakuliona.

Ndugu Zama hizi sio za Mrema, Nakataa asilimia 100% if CCM wins this time round I will never vote
 
Hata wale wa enzi wa mrema watasaema kama unavyosema wewe. Ila usije kujiua bure kwa kukosa unachokitarajia.
 
Back
Top Bottom